Back

ⓘ Louis Leipoldt
Louis Leipoldt
                                     

ⓘ Louis Leipoldt

Dr. Christian Frederik Louis Leipoldt alikuwa mwandishi, daktari na mkaguzi wa shule kutoka Afrika Kusini. Aliandika mashairi mengi ya Kiafrikaans pamoja na maandishi ya habari na kuhusu tiba.

                                     

1. Maandishi yake

  • The Ballad of Dick King and Other Poems 1949
  • Stormwrack 1980; imetolewa baada ya kifo chake
  • Bushveld Doctor 1937; tawasifu
  • Oom Gert Vertel en Ander Gedigte 1911; "Mjomba Gert Husimulia na Mashairi Mengine"
                                     
  • 31 Oktoba - Julia Peterkin, mwandishi kutoka Marekani 28 Desemba - Louis Leipoldt mwandishi wa Afrika Kusini 5 Oktoba - Jacques Offenbach, mtungaji wa
  • Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919 1880 - Louis Leipoldt mwandishi wa Afrika Kusini 1944 - Kary Mullis, mshindi wa Tuzo ya Nobel
  • I 1945 - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani 1933 - 1945 1947 - Louis Leipoldt mwandishi wa Afrika Kusini 1971 - Igor Tamm, mshindi wa Tuzo ya Nobel