Back

ⓘ Ignas wa Loyola
Ignas wa Loyola
                                     

ⓘ Ignas wa Loyola

Ignas wa Loyola alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Yesu na wa mtindo wa mazoezi ya kiroho.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 27 Julai 1609, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Sala yake

Pokea, Bwana, hiari yangu yote.

Pokea kumbukumbu, akili na utashi wote.

Vyovyote nilivyonavyo au kuvimiliki nimejaliwa na wewe: nakurudishia vyote na kuukabidhi utashi wako uvitawale.

Unijalie tu upendo wako na neema yako, nami nitakuwa tajiri kutosha, nisitamani kitu kingine chochote.

                                     

2. Marejeo ya Kiswahili

 • A. JOU, S.J., Kazaliwa Kupigana Vita, Simulizi juu ya Mt. Inyasi wa Loyola kwa ajili ya Vijana hasa wa kiume – tafsiri ya Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – ed. Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – Dodoma 2001 – ISBN 0856-5589
                                     

3. Marejeo mengine

Muhimu zaidi

 • Loyola, St. Ignatius 1992. in John Olin: The Autobiography of St. Ignatius Loyola, with Related Documents. New York: Fordham University Press. ISBN 082321480X.
 • Loyola, St. Ignatius 1900. in Joseph OConner: The Autobiography of St. Ignatius. New York: Benziger Brothers. OCLC 1360267.
 • Loyola, St. Ignatius 1964. The Spiritual Exercises of St. Ignatius, Anthony Mottola, Garden City: Doubleday. ISBN 9780385024365.
 • Foss, Michael 1969. The Founding of the Jesuits, 1540, Turning Points in History Series. London: Hamilton. ISBN 0241015138.

Mengine

 • Bartoli, Daniello 1855. History of the Life and Institute of St. Ignatius de Loyola: Founder of the Society of Jesus. New York: Edward Dunigan and Brother.
 • OMalley, John W. 1993. The First Jesuits. Cambridge: Harvard University Press. ISBN 0674303121.
 • Meissner, William 1992. Ignatius of Loyola: The Psychology of a Saint. New Haven: Yale University Press. ISBN 0300060793.
 • Caraman, Philip 1990. Ignatius Loyola: A Biography of the Founder of the Jesuits. San Francisco: Harper & Row. ISBN 0062501305.
 • García Villoslada, Ricardo 1986. San Ignacio de Loyola: Nueva biografía in Spanish. La Editorial Católica. ISBN 8422012677.


                                     

4. Viungo vya nje

 • Founder Statue in St Peters Basilica
 • The Life of St. Ignatius of Loyola, Confessor & Founder of the Jesuits Archived Oktoba 18, 2015 at the Wayback Machine.
 • Shughuli au kuhusu Ignas wa Loyola katika maktaba ya WorldCat catalog
 • FamiliaIgnaciana.com - Comunidad de Ignacianos en los Estados Unidos
 • "St. Ignatius of Loyola, Confessor", Butlers Lives of the Saints
 • Letters of St. Ignatius of Loyola
 • Biography of Ignatius of Loyola
 • Finding God In All Things
 • Saint Ignatius College
 • The Spiritual Exercises of St. Ignatius Archived Juni 19, 2012 at the Wayback Machine. Translation by Elder Mullan, S.J.
 • St. Ignatius Loyola and Opus Dei
 • "Contemplation to Attain Love", by Ignatius of Loyola
 • The Goa Jesuit Province of the Society of Jesus
                                     
 • Italia, 1 Agosti 1546 alikuwa padri wa kwanza na mwanzilishi mwenza wa Shirika la Yesu pamoja na Ignas wa Loyola na Fransisko Saveri. Alitangazwa na Papa
 • watakatifu Ignas wa Loyola na Fransisko Saveri, waanzilishi wa Shirika la Yesu, na Mikaeli Garicoits, mwanzilishi wa Mapadri na mabradha wa Betharram.
 • kumbukumbu za watakatifu Ignas wa Loyola Kalimeri, Demokrito na wenzake, Fabius, Tertulino, Jermano wa Auxerre, Helena wa Uswidi, Petro Doan Cong Quy
 • Malkia wa Uingereza, anaanzisha ukoloni William Shakespeare, mwanafasaha bora wa Kiingereza Ignas wa Loyola mwanzilishi wa Wajesuiti Teresa wa Yesu na
 • ya kwanza ilifuata kielelezo cha ile ya Wajesuiti iliyoandikwa na Ignas wa Loyola Shirika lilikua polepole: mwaka 1905 liliingia Marekani na mwaka 1910
 • China, 3 Desemba 1552 alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambalo alichangia kulianzisha pamoja na Ignas wa Loyola Baadaye alitangaza Injili katika nchi
 • wake ni Ignas wa Loyola Mhispania ambaye alikuwa mwanajeshi. Mwaka 1521 alijeruhiwa vibaya vitani. Alipokaa hospitalini muda mrefu akasikia wito wa Mungu
 • Urekebisho wa Kikatoliki ulikuwa kipaumbele cha Wakristo wengi wa Kanisa Katoliki hasa katika karne XV na XVI. Juhudi hizo zilikuwa na upana mkubwa na
 • Padova kwa masomo. Alipofikia umri wa miaka 18, akifuata wito wake wa upadri, na kuvutiwa na mfano wa Ignas wa Loyola aliamua kujiunga na Shirika la Yesu