Back

ⓘ Gavana
                                               

Brigitta Scherzenfeldt

Brigitta Christina Scherzenfeldt, 1684 - 4 Aprili 1736, alikuwa mwandishi kwa kutegemea kumbukumbu zake binafsi na mwalimu wa Uswidi ambaye alikamatwa wakati wa Vita Vikuu vya Kaskazini na aliishi kama mtumwa zaidi ya miaka 15 katika Dzungar Khanate huko Asia ya Kati. Alielekeza kumbukumbu zake, katika kuelezea maisha yake kama mtumwa, baada ya kuachiliwa. Hadithi yake inachukuliwa kama chanzo cha kipekee cha habari juu ya maisha kati ya Dzungars. Aliolewa na Bernow, Lindström, Ziems, na Renat.

                                               

Helen Cordero

Helen Cordero 15 Juni 1915 - 24 Julai 1994 alikuwa mfinyanzi wa Cochiti Pueblo kutoka Cochiti, New Mexico. Alikuwa mashuhuri kwa sanamu zake za ufinyanzi wa hadithi, motif aliyoibuni, kulingana na motif ya jadi ya "mama wa kuimba"

                                               

Kikalio cha Dhahabu

Kikalio cha Dhahabu ni kiti cha enzi cha kifalme cha wafalme wa Ufalme wa Ashanti na ishara kuu ya mamlaka kuu. Kulingana na mapokeo, Okomfo Anokye, Kuhani mkuu na mmoja wa waanzilishi wakuu wa ufalme wa Ashanti, alisababisha kikalio hicho kushuka kutoka mbinguni na kutua kwenye paja la Osei Tutu aliyekuwa mfalme wa kwanza wa Ashanti. Kikalio cha Dhahabu kinaaminika kuwa na roho ya taifa la Ashanti ndani yake.

Gavana
                                     

ⓘ Gavana

Kuna nchi ambako gavana ni mtendaji mkuu wa serikali katika dola la shirikisho au jimbo. Kwa mfano katika Marekani ina madola 50 ndani yake na kila moja huwa na gavana kama mkuu wa serikali ya kidola.

Cheo hiki kinalingana na waziri mkuu wa sehemu ya nchi yenye kiwango cha kujitawala na bunge lake pamoja na serikali ya kieneo, kwa mfano waziri mkuu wa jimbo la Afrika Kusini au Ujerumani.

                                     

1. Gavana kama mtendaji mkuu wa mkoa

Katika nchi kama Japani au Indonesia watendaji wakuu wana cheo cha gavana wakichaguliwa na wananchi na kuwajibika kwa wananchi, hata kama madaraka ya mikoa yao hayalingani na jimbo au dola la shirikisho.

Katika nchi nyingine magavana ni maafisa wa serikali kuu wanaoteuliwa na rais wa taifa au waziri wake kuwa watendaji wakuu katika mkoa. Hawawajibiki kwa wananchi wa eneo lao bali kwa serikali kuu. Mfano ni gavana katika Urusi. Nafasi hii inalingana na ile ya mkuu wa mkoa katika Kenya au Tanzania tangu zipate uhuru.

                                     

2. Gavana wa koloni na katika Jumuiya ya Madola

Ugavana ulikuwa cheo cha kihistoria kutoka zamani ya ukoloni kwa mkuu wa koloni anayewakilisha serikali kuu na kuwa mkuu wa serikali katika koloni.

Cheo hiki kimebaki katika Jumuiya ya Madola ambako nchi nyingi zinamkubali malkia au mfalme wa Uingereza kama mkuu wa dola na yeye anawakilishwa katika nchi hizo na afisa mwenye cheo cha "gavana mkuu".

                                     

3. Gavana katika kampuni ya umma na taasisi

Katika nchi zinazotumia Kiingereza kuna pia maafisa wanaoitwa gavana nje ya siasa.

  • mtendaji mkuu wa benki kuu mara nyingi huitwa gavana
  • taasisi mbalimbali wanasimamiwa mara nyingi na "board of governors"
  • wasimamizi wa kimkoa wa shule wakati mwingine wanaitwa "school governor"
  • katika Uingereza wasimamizi wa magereza huitwa "prison governor"
Era Bell Thompson
                                               

Era Bell Thompson

Era Bell Thompson alikuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha North Dakota na mhariri wa jarida la Ebony. Alikuwa pia mpokeaji wa gavana wa Dakota ya Kaskazini. Thompson alizaliwa Agosti 10, mwaka 1905, huko Des Moines, Iowa,

                                               

Americo Gonçalves

Mwaka 1990 Gonçalves alianzisha gazeti la kila wiki la Angolense na A Capital. Kama mhariri mkuu wa Angolense,mwaka 2000 yeye pamoja na mhariri mwingine walipatikana na hatia ya kumkashifu gavana wa jimbo katika magazeti yao walipatikana na hati na kutumikia adhabu kwa muda wa miezi mitatu". Gonçalves alishinda tuzo ya Maboque Journalism Prize mwaka 2010 kutoka na mchango wake kwa waandishi wa habari wa Angola Alifariki tarehe 2 Agosti mwaka 2014.