Back

ⓘ Rasilmali                                     

ⓘ Rasilmali

Rasilmali, pia mtaji, ni dhana muhimu katika elimu ya uchumi.

Inataja moja kati ya vyombo vya uzalishaji kufuatana na elimu ya uchumi pamoja na ardhi, kazi na elimu.

Rasilmali huwa na tabia zifuatazo

  • inatumiwa katika uzalishaji wa vitu
  • ni tokeo la kazi ya kibinadamu tofauti na ardhi ya yaliyomo yake kama malighafi

Rasilmali inataja vitu kama zana, mashine, majengo n.k. vilivyowahi kutengenezwa katika uzalishaji wa awali na sasa vinatumiwa kuzalisha vitu vingine.

Rasilmali ni pia pesa zinazopatikana kwa kutunza na kupanusha vyombo vya uzalishaji.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →