Back

ⓘ Kichwa
                                               

Kibiriti

Kiasili neno lataja elementi ya rangi njano inayoitwa zaidi sulfuri kwa jina la kikemia. Kwa maana hiyo neno lapatikana katika Biblia kwa mfano Ufunuo 9.17.

                                               

Sekundo wa Asti

Sekundo wa Asti anakumbukwa kama Mkristo aliyefia imani yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Hadrian. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi.

                                               

Visia

Visia alikuwa bikira aliyekatwa kichwa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius dhidi ya Wakristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 12 Aprili.

                                               

Ambra Gambale

Ambra Gambale ni msanii na mbunifu wa samani wa Afrika Kusini. Mafuvu yake ya kichwa yaliyotengenezwa na fuvu za wanyama, chuma na madini zimekua zikioneshwa na kuuzwa katika jiji la London, katika maeneo ya Notting hill na Dover street, Mayfair. Samani zake zinatengemezwa na mkono na zinatengenezwa kwa kutumia dhahabu na almasi. Her fine jewellery range is handmade and centred on the use of gold, ebony and diamonds. Wanunuzi wake ni pamoja na mshindi wa Pulitzer Lauren Beukes. Sanaa yake ya fuvu la mamba la shaba iliyotengenezwa kwa almasi ilionekana kwenye jarida la Vogue ya Brazil na il ...

                                               

Perfekto

Perfekto alikuwa padri wa Cordoba aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo. Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili.

Kichwa
                                     

ⓘ Kichwa

Kichwa ni sehemu ya mwili ambayo kwa mwandadamu na vetebrata huwa na ubongo, macho, masikio, pua na kinywa ambazo hutumiwa kwa kuona, kusikia, kunusa, na kuonja.

Kichwa ni sehemu iliyo tofauti na kiwiliwili. Maumbile ya kichwa yametokea kwa njia ya mageuko ya uhai. Katika mchakato huu milango ya fahamu, mdomo na kitovu cha neva zilianza kukaa pamoja kwenye sehemu ya mbele ya viumbe. Kwa vertebrata mkusanyo huu umepata kinga cha mifupa ya fuvu kinachviringisha mkusanyiko wa neva ulioendelea kuwa ubongo.

Kwa binadamu kichwa huwa kimefunikwa na nywele.

                                     
  • kuhusu mifupa ya kichwa cha binadamu na wanyama wengi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kulinda ubongo. Kila mwanadamu ana fuvu la kichwa usingekuwa na fuvu
  • Maumivu ya kichwa kwa Kiingereza headache ni maumivu ya aina 220 tofauti yanayotokea sehemu za kichwa bila hicho kugongwa kwa nje. Sababu za ndani
  • Katika utarakilishi, kichwa kwa Kiingereza: header ni data inayowekwa mwanzoni wa kipande cha data. Kwa mfano, katika utumaji wa barua pepe, mletaji
  • Nyoka - miti kichwa - kipana ni nyoka wa jenasi Toxicodryas katika familia Colubridae. Amepewa jina hili kwa sababu hukaa mitini takriban masaa yote na kichwa ni
  • kumtambulisha zaidi mtu au mnyama. Kwa kawaida uso hupatikana sehemu ya mbele ya kichwa cha mnyama au wanadamu ingawa si wanyama wote wanaoona, uso ni muhimu kwa
  • Shingo ni sehemu ya mwili wa mnyama au binadamu inayounganisha kichwa na kifua.
  • iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya kichwa wakitumia alama tu kwa sauti ya r na kuiita kwa neno lao kwa kichwa yaani resh Wagiriki walichukua alama
  • Tajino ni jina la kichwa cha jino katika elimu ya uganga wa meno. Neno limebuniwa kwa kuunganisha maneno taji na jino Sehemu ya tajino inafunikwa
  • wanalala alikata kichwa cha Madusa kwa kumwangalia kupitia ngao akaweka kichwa mfukoni na kukimbia nayo. Baadaye aliweza kutumia kichwa chaMadusa mara kadhaa
  • wadogo lakini hawana rangi kali, isipokuwa kichwa cha kambu - ardhi kichwa - buluu na kile cha kambu - ardhi kichwa - chekundu. Hutafuta chakula chini na hula wadudu
                                               

Elikonida

Elikonida alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa vikali akakatwa kichwa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Gordiani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 28 Mei.