Back

ⓘ Jamii:Dini za Uhindi
                                               

Guru

Kwa mwimbaji anayetumia jina hili tazama Guru Guru Kisanskrit गुरु guru - mzito, mkubwa ni neno la lugha ya Kisanskrit amabalo katika dini zenye asili ya Uhindi kama Ubuddha na Uhindu lamaanisha mwalimu wa kiroho. Katika utamaduni wa Kihindi mwenye kutafuta ukweli au mwangaza wa kiroho anamtegemea kiongozi au mwalimu atakayemwongoza kwenye njia ya kiroho. Huyu anajulikana kwa cheo cha "guru". Katika dini ya Kalasinga "Guru" ni cheo cha viongozi 10 wa kwanza walioanzisha na kuongoza imani hii. Tangu mwaka 1708 hakuna guru wa kibinadamu tena kati ya Kalasinga na kitabu kitakatifu chao kinahe ...