Back

ⓘ Jamii:Shule
                                               

Bweni

Kwa matumizi tofauti ya neno hili tazama Bweni Bweni kwa Kiingereza dormitory ni nyumba ya kulala hasa kwa ajili ya wanafunzi wa chuo au shule. Kuna mabweni sahili ambako vitanda vya ghorofa vinapatikana kwa kundi la wanafunzi wanaolala pamoja katika chumba kimoja. Mabweni yanahitaji kuwa na vyoo, bafu na kabati za kuwekea nguo na vitu vya binafsi kila mwanafunzi. Majengo ya mabweni huwa pia na jiko na ukumbi wa chakula. Mabweni mazuri zaidi huwa na vyumba vidogo ambako si zaidi ya wanafunzi 2-3 wanaoshirikiana nafasi ya chumba kimoja, wakati mwingine pia na chumba kidogo cha bafu na choo. ...

                                               

Klabu za Kiswahili

Klabu za Kiswahili katika shule mbalimbali za sekondari zinaanzishwa kwa malengo mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi ya malengo ya kuanzishwa kwa klabu za lugha ya Kiswahili nchini Tanzania. *1. Kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania. *2. Kudumisha umoja na mshikamano wa watumiaji wa lugha ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania. *3. Kujifunza zaidi juu ya misamiati mipya ya lugha ya Kiswahili baina ya watumiaji kupitia midahalo na majadiliano. *4. Kuibua wataalamu hodari wa lugha ya Kiswahili kwa kuzingatia kanuni na taratibu za lugha hiyo sarufi ya Kiswahili, yaani kimat ...

                                               

Seminari

Seminari ni muundo wa malezi unaotoa mafunzo ya dini, hususan Ukristo, yakiwa pengine pamoja na elimu dunia. Seminari kuu, au vyuo vya teolojia, ni muundo wa malezi ya juu kwa watu wanaolenga moja kwa moja upadri au huduma nyingine ya uongozi katika Kanisa. Tofauti na hiyo, seminari ndogo inalea vijana kuanzia baadhi ya madarasa ya shule ya msingi hadi vidato vya sekondari. Neno linatokana na Kilatini: seminarium ina maana ya kitalu, mfano uliotumiwa na Mtaguso wa Trento katika hati Cum adolescentium aetas ambayo ilianzisha seminari za kwanza za kisasa. Baada ya muundo huo kuenea katika Ka ...

                                     

ⓘ Shule

  • Shule kutoka Kijerumani: Schule nchini Tanzania na Kenya, huko Zanzibar huitwa skuli kutoka Kiingereza school ni taasisi inayoongozwa na mfumo maalumu
  • Shule ya msingi ni hatua ya kwanza katika mfululizo wa masomo katika nchi nyingi. Masomo ya msingi huchukua kati ya miaka 5 hadi 8 ya kwanza ya elimu
  • Shule ya Upili ya Kisii ni shule maarufu na ya kitambo. Shule hii inapatikana katika Mji wa Kisii, Wilaya ya Kisii, Mkoani Nyanza nchini Kenya. Ilianzishwa
  • yanayofanana. Yale ya shule za upili ni teule na ya hiari. Shule hizi hujulikana kama sekondari, shule za upili, shule za kati, vyuo au shule za ujuzi wa kitaalamu
  • Shule ya upili ya Maseno ni shule inayopatikana katika sehemu ya nyanza nchini Kenya. Shule ya Maseno ilianzishwa mwaka 1906 na kuongozwa na Kasisi J
  • Shule ya Kimataifa ya Brookhouse iko katika kitongoji mjini Nairobi, karibu kilomita 14 kutoka katikati ya jiji. Shule hii ilifunguliwa mnamo mwaka wa
  • Shule ya Strathmore ni shule ya kwanza ya Kenya ambayo haikuwa na ubaguzi wa rangi iliyoanzishwa mwaka wa 1961 katika eneo la Lavington wilayani Nairobi
  • Shule ya Upili ya Alliance ilianzishwa 1 Machi 1926 na Muungano wa Makanisa ya Kiprotestanti, Kanisa la Scotland Mission inayojulikana kama Kanisa la
  • Shule ya St. Andrews ni shule huru ya msingi na ya sekondari mjini Nakuru, Kenya, karibu na mji wa Molo. Inajulikana kwa jina la Turi ambalo ni jina