Back

ⓘ Mababu wa jangwani
Mababu wa jangwani
                                     

ⓘ Mababu wa jangwani

Mababu wa jangwani walikuwa wamonaki ambao kuanzia karne III, dhuluma za serikali dhidi ya Wakristo zilipopungua, lakini zaidi karne IV, baada ya Konstantino Mkuu kuruhusu Ukristo katika Dola la Roma, walihama miji na vijiji wakaishi upkeweni kwenye majangwa ya Misri, Palestina na Syria.

Kati yao Antoni Mkuu anahesabiwa kuwa wa kwanza; walau ndiye aliyevutia wengi zaidi kufuata mtindo huo wa utawa.

Mbali ya wanaume abba kulikuwa pia na wanawake amma.

Lengo lao lilikuwa kuishi kwa juhudi baada ya mwisho wa dhuluma za serikali dhidi ya Kanisa. Hivyo walishika nafasi ya heshima na baada ya kufa walitazamwa kama watakatifu karibu na wafiadini.

                                     

1. Misemo yao

Misemo yao Apoftegmata ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili:

 • Misemo ya Mababa wa Jangwani Apophthegmata Patrum – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
                                     

2. Marejeo kwa lugha nyingine

 • Angold, Michael 2006. Eastern Christianity. Cambridge: St. Vladimirs Seminary Press. ISBN 0-913836-11-7.
 • Riddle, John M. 2008. A History of the Middle Ages, 300–1500. Lanham, Md: Rowman & Littlefield Publishers, Inc. ISBN 0-7425-5409-0.
 • Parry, Ken 1999. The Blackwell Dictionary of Eastern Christianity. Malden, MA: Blackwell Publishing. ISBN 0-631-23203-6.
 • Ware, Kallistos 2000. The Inner Kingdom. Crestwood, NY: St Vladimirs Seminary Press. ISBN 0-88141-209-0.
 • Ward, Benedicta 1975. The sayings of the Desert Fathers: the alphabetical collection, Part 1. Mowbrays.
 • Waddell, Helen 1957. The Desert Fathers. Ann Arbor, Mich: University of Michigan Press. ISBN 0-472-06008-2.
 • Nes, Solrunn 2007. The uncreated light: an iconographical study of the transfiguration in the Eastern Church. Wm. B. Eerdmans Publishing. ISBN 0-521-81113-9.
                                     
 • Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Sinkletika Theoktiste wa Lesbo Maria wa Misri The Saint Pachomius
 • ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani As a youngster, Saint Pambo once asked Saint
 • Romanum. Ni kati ya Mababu wa jangwani ambao misemo yao iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum Misemo ya Mababa wa Jangwani Misemo hiyo ilikusanywa
 • Romanum. Ni kati ya Mababu wa jangwani ambao misemo yao iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum Misemo ya Mababa wa Jangwani Misemo hiyo ilikusanywa
 • hivi alikuwa mmonaki wa Misri maarufu kwa misemo yake. Kati ya Mababu wa jangwani ndiye anayeongoza kwa mbali kwa wingi 1 7 wa misemo iliyoripotiwa
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Our Patron
 • 14 Mei. Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani
 • Besarioni wa Misri alikuwa mmonaki Mkristo kati ya karne ya 4 na ya 5 BK. Anahesabiwa kati ya mababu wa jangwani kwa kuwa aliishi bila makao maalumu katika
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Martyrologium
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Saint Justus
 • Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani Guillaume
 • 0 - 264 - 66350 - 0 Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu Wafransisko Mababu wa jangwani