Back

ⓘ Mnururisho
Mnururisho
                                     

ⓘ Mnururisho

Mnururisho ni uenezaji wa nishati kwa njia ya chembe ndogo sana au kwa njia ya mawimbi. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.

Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni nuru na joto. Binadamu ana milango ya fahamu kwa ajili mnurirsho huo kama vile macho kwa nuru na neva kenye ngozi kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa sumakuumeme katika redio na TV, eksirei au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au sumaku. Nyuki huona infraredi isiyoonekana kwa macho ya kibinadamu.

                                     

1. Tabia za mnururisho

Mnururisho uko kati ya sehemu za fizikia zilizochunguliwa zaidi na sayansi na kupata matumizi mengi katika teknolojia ya kibinadamu.

Hata hivyo wataalamu hawana uhakika mnururisho mwenyewe ni nini hali halisi. Kadiri na mbinu za upimaji huonekana mara kama mwendo wa chembe yaani vipande vidogo sana vya mada kama vile elektroni au nyutroni na mara kama wimbi yaani mwendo wa nishati isiyo na umbo wa kimada.

Mnururisho unaweza kuathiri vitu vinavyoguswa nao. kama nishati yake ni kubwa ya kutosha inaweza kusababisha halijoto kupanda, mabadiliko ya kikemia au pia madhara kwa vitu na viumbe hai.

                                     

2. Aina za mnururisho

Kuna aina nyingi za mnururisho au njia za uenezaji wa nishati.

 • Mawimbi ya redio: ni mnururisho mwenye masafa marefu ya mawimbi ing. long wavelength. Hutumiwa kwa redio, TV na ishara za mawasiliano.
 • Mikrowevu: ni aina ya pekee ya mawimbi ya redio yenye masafa madogo ya mawimbi short wavelength zaidi; hutumiwa kwa mawasiliano ya simu, kama silaha, kwa uhamisho wa umeme kati ya mahali na pahali halafu katika maisha ya kila siku ndani ya jiko la püekee la kupashia joto vyakula.
 • Radar: Ni mawimbi redio yanayoonyesha ndege angani, meli baharini na hata mawingu. Yanatembea mbali na kuakisihwa na magimba.
 • Mawimbi infraredi: ni mnururisho wa joto. Hauonekani kwa jicho la kibinadamu lakini hushikwa na kamera za pekee zinazo"ona" gimba la kuota joto hata kupitia ukuta.
 • Nuru: Mnururisho unaitwa pia "mwanga"
                                     
 • Mnururisho sumakuumeme ing. electromagnetic radiation electromagnetic waves ni mnururisho wa mawimbi zinazounganisha uga sumaku na uga wa umeme na
 • kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa mnururisho Wakati wa badiliko atomi inatoa chembe nyuklia. Mifano ya elementi ambazo
 • Nuru kutoka Kiarabu نور, nur pia mwanga ni neno la kutaja mnururisho unaoweza kutambuliwa kwa macho yetu. Kwa lugha ya fizikia ni sehemu ya mawimbi
 • na wanyama mbalimbali. Kwa lugha nyingine na makini zaidi ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme wenye lukoka wavelength baina ya nanomita 400 hadi 10
 • Wimbiredio ing. radio wave ni sehemu ya mnururisho sumakuumeme. Ni mawimbi yenye masafa ya mawimbi ing. wavelength baina ya sentimita 10 na kilomita
 • ugonjwa nururifu wakiathiriwa na kiasi kikubwa cha mnururisho au kupata kansa baadaye kwa wingi. Mnururisho huo hukaa kwa muda wa miaka katika ardhi, pia hukusanywa
 • walikufa baadaye kutokana na mnururisho wa kinyuklia. Wengine waliendelea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho Mji ukajengwa upya baada
 • hutofautishwa kulingana na upepo, halijoto, mawingu, unyevuanga, kanieneo, mnururisho wa jua, uvukizaji na kadhalika. Athari muhimu zaidi katika mabadiliko
 • wa Jua kwa Kiingereza: luminosity of the Sun ni jumla ya mng aro au mnururisho wa sumakuumeme unaotoka kwenye Jua na kuelekea nje yake katika anga - nje
 • hadi upeo wa MHz na kipimo hiki hutumiwa kupima mitetemo ya molekuli. Mnururisho sumakuumeme hupatikana kama mawimbi ya redio, eksirei, nuru na joto. Tofauti
 • James Van Allen kutoka Marekani aliyeongoza utafiti wa ukanda huu wa mnururisho katika miaka ya 1950. Ukanda wa Van Allen una sehemu mbili: ukanda wa
 • 1936 alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Arno Penzias na Pyotr Kapitsa alikuwa