Back

ⓘ Wizara ya Elimu
                                     

ⓘ Wizara ya Elimu

Nchi kadhaa zina idara za serikali zinazoitwa Wizara ya Elimu au Wizara ya Elimu ya Umma. Wizara ya kwanza kabisa inafikiriwa kuwa Tume ya Taifa ya Elimu na ilianzishwa mwaka wa 1773 katika Madola ya Kipolishi-Kilithuania.

 • Wizara ya Elimu Jamaika
 • Wizara ya Elimu na Utafiti Uswidi
 • Wizara ya Elimu Bahrain
 • Wizara ya Elimu Jamhuri ya China
 • Wizara ya Elimu India
 • Shirika la Kitaifa ya Elimu ya Kifini
 • Wizara ya Elimu Uingereza
 • Wizara ya Elimu Bangladesh
 • Wizara ya Elimu Urusi
 • Wizara ya Elimu Finland
 • Sekretarieti ya Elimu ya Umma Mexico
 • Wizara ya Elimu Misri
 • Wizara ya Elimu Namibia
 • Shirikisho ya Nigeria ya Wizara ya Elimu
 • Waziri ya Elimu ya Kiaifa Ufaransa
 • Wizara ya Elimu na Michezo Serbia
 • Wizara ya Elimu, Utamaduni, Michezo, Sayansi na Teknolojia Japan
 • Wizara ya Elimu Ontario
 • Wizara ya Elimu na Utafiti ya Kinorwe
 • Waziri wa Elimu na Masuala ya Kidini ya Kitaifa Greece
 • Wizara ya Elimu, Utamaduni na Sayansi Uholanzi
 • Wizara ya Elimu Poland
 • Wizara ya Elimu Singapore
 • Wizara ya Elimu, Michezo na Utamaduni Zimbabwe
 • Wizara ya Elimu Sierra Leone
 • Wizara ya Elimu Malaysia
 • Wizara ya Elimu Saudi Arabia
 • Wizara ya Elimu ya Juu Malaysia
 • Wizara ya Elimu Kenya
 • Wizara ya Elimu na Sayansi Ireland
 • Wizara ya Elimu Israeli
 • Wizara ya Elimu, Sayansi na Utamaduni Austria Bundesministerium für Bildung, Wissenschaft und Kultur
 • Wizara ya Elimu Thailand
 • Wizara ya Elimu Iraq
 • Wizara ya Elimu Saint Lucia
 • Wizara ya Elimu Kanada
 • Wizara ya Elimu New Zealand
 • Wizara ya Elimu Ureno
 • Wizara ya Elimu Lebanon
 • Wizara ya Elimu Brazili
 • Wizara ya Elimu Iran
 • Shirikisho ya Wizara ya Elimu na Utafiti Ujerumani
 • Wizara ya Elimu Hispania
 • Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Watu wa Uchina
 • Wizara ya Elimu Sri Lanka
 • Wizara ya Elimu ya Kiaifa Uturuki
 • Wizara ya Elimu Ethiopia
 • Wizara ya Elimu ya Chile
 • Wizara ya Elimu Peru
 • Wizara ya Elimu Pakistan
                                     
 • Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania kwa Kiingereza: Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training kifupi ni
 • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Kiingereza: Ministry of Education and Vocational Training kifupi MOE ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi
 • orodha ya Wizara za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Orodha hii inahusisha wizara zote pamoja na zile ambazo hazipo katika masuala ya Muungano
 • Elimu nchini Singapore inasimamiwa na Wizara ya Elimu MOE ambayo inasimamia maendeleo na utawala wa shule za serikali zinazopokea fedha za walipa kodi
 • umuhimu wa elimu Hata hivyo, nchi nyingine zina wizara ya elimu na katika masomo mengi, kama vile kujifunza lugha za kigeni, kiwango cha elimu kimo juu
 • ya mwaka 2005. Ofisi kuu ya wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam. Mwaka 2015 wizara hiyo ilifutwa na idara zake kugawiwa kati ya Wiraza ya Elimu na
 • mashariki mwa Benin. Zaidi ya wanafunzi 450 wameweza kukaa katika shule kwa sababu ya mipango yao. SACMEQ Muungano wa Wizara 15 za Elimu Kusini na Mashariki
 • mitihani nchini Kenya, chini ya Wizara ya Elimu Kitengo hicho pia husimamia na kufanyia mabadabiriko kwa Cheti cha Masomo ya Upili ya Kenya KCSE tuzo la
 • Sosholojia ya elimu ni sayansi inayohusu uhusiano ya elimu na jamii. Kwa upana zaidi, elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama