Back

ⓘ Matumizi ya ardhi
Matumizi ya ardhi
                                     

ⓘ Matumizi ya ardhi

Matumizi ya ardhi pia mara nyingi hutumika kuelezea aina tofauti za matumizi ya ardhi katika ugawanyaji wa maeneo mbalimbali.

Matumizi ya Ardhi ni mabadiliko yanayofanywa na binadamu kwa mazingira ya asili au jangwani na kuwa mazingira yaliyojengwa kama vile mashamba, malisho, na makazi. Athari kubwa ya matumizi ya ardhi katika uwanda wa ardhi tangu mwaka wa 1750 imekuwa ni ukataji miti katika maeneo yenye hali ya joto gtc:prefix=" gtc:mediawiki-xid="0" gtc:temp> Pia imefafanuliwa kama "jumla ya mipangilio, shughuli, na pembejeo ambazo watu hufanya katika aina fulani ya uwanda wa ardhi".

                                     

1. Matumizi ya ardhi ya Manispaa

Kila muundo, unaojulikana kama ukanda, huja na orodha ya matumizi yaliyothibitishwa ambayo yanaweza kutumika kisheria kwenye ukanda huo Haya hupatikana katika hukumu ya serikali au kanuni za ukanda.

                                     

2. Matumizi ya ardhi na mazingira

Matumizi ya ardhi na usimamizi wa ardhi huwa na athari kubwa ya maliasili pamoja na maji, udongo, virutubishi, mimea na wanyama. Taarifa ya matumizi ya ardhi inaweza kutumika kuendeleza ufumbuzi kwa masuala ya usimamizi wa malasili kama vile chumvi na ubora wa maji. Kwa mfano,vyanzo vya maji katika eneo ambalo limekatwa miti au kuna mmomonyoko vitakuwa na tofauti wa ubora wa maji kuliko katika maeneo ambayo yana miti

Kulingana na ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, uharibifu wa ardhi umeongezeka sana mahali ambapo kumekuwa na ukosefu wa mipango yoyote ya matumizi ya ardhi, au uwepo wa kifedha au motisha wa kisheria ambao ulisababisha maamuzi ya matumizi mabaya ya ardhi, au mpangilio wa upande mmoja na hivyo kupelekea matumizi ya juu ya rasilimali ya ardhi - kwa mfano uzalishaji wa haraka kwa gharama zozote. Kutokana na hilo, mara nyingi matokeo yamekuwa ya tabu kwenye sehemu kubwa ya idadi ya watu ya wakazi wa mitaa na uharibifu wa mazingira ya viumbe vya thamani vinavyotegemeana ili kuishi. Mbinu kama hizo zinapaswa kubadilishwa na ustadi kwa ajili ya mipango na utekelezaji wa rasilimali za ardhi ambayo ni ya kiujumla na kuungana na watumiaji wa ardhi ambapo ni muhimu. Hii itahakikisha ubora wa ardhi wa muda mrefu kwa ajili ya matumizi ya binadamu, uzuiaji au utatuzi wa migogoro ya kijamii kuhusiana na matumizi ya ardhi na uhifadhi wa mazingira ya thamani ya viumbe hai.

                                     

3. Ukuaji wa mipaka ya mijini

Ukuaji wa mpaka wa mji ni moja ya fomu ya kanuni za matumizi ya ardhi. Kwa mfano, Portland, Oregon inahitajika kuwa na ukuaji wa mpaka wa mji ambayo ina angalau ekari 20.000 ya ardhi iliyo wazi. Kwa kuongeza, Oregon inapinga maendeleo ya mashamba. Kanuni zina utata, lakini uchambuzi wa kiuchumi ulihitimisha kuwa mashamba yalitambulika vyema kama ardhi nyingine. gtc:prefix=" gtc:mediawiki-xid="4" gtc:temp>

                                     

4. Angalia Pia

 • Land Allocation Decision Support System
 • Traffic
 • Journal of Land Use and Environmental Law
 • Habitat destruction
 • Land Utilisation Survey of Britain
 • Land use, land-use change and forestry
 • Planning
 • Journal of Transport Land Use
 • Urbanization
 • Urban studies
 • Land use forecasting
 • Variance land use
 • Easement
 • Building setback
 • Land cover
                                     

5. Viungo vya nje

 • Ukurasa wa matumizi ya ardhi wa Schindler Chuo kikuu cha Michigan State, Kundi la muendelezo wa matumizi ya ardhi
 • Taasisi ya Sera ya Ardhi katika chuo kikuu cha Michigan State
 • Mradi wa Uwajibikaji wa Matumizi ya Ardhi Sehemu muhimu ya uadilifu wa jumuiya
 • Mwanasheria. Blog ya kwanza ya sheria ya matumizi ya ardhi.
 • Sheria za Matumizi ya Ardhi na Prof Daniel R. Mandelker kutoka Chuo Kikuu cha St Louis, shule ya sheria- mji mkuu wa Marekani
 • Powell, W. Gabe. 2009. Kubaini matumizi ya ardhi / uwanda wa juu wa ardhi LULC Kutumia Programu ya picha Taifa ya Kilimo NAIP data kama kinachoingia kwenye mfumo wa sayansi ya maji kwa ajili ya usimamizi wa mafuriko ya sehemu fulani. Miradi ya uchunguzi. Chuo kikuu cha Texas State - San Marcos.