Back

ⓘ Jamii:Makumbusho
                                               

Rekodi za Dunia za Guinness

Guinness World Records, ni kitabu cha marejeleo kinachochapishwa kila mwaka na ni mkusanyo wa rekodi za dunia za mafanikio ya binadamu pamoja na maajabu ya ulimwengu asili. Kitabu chenyewe kinashikilia rekodi ya dunia kama mfululizo wa kitabu cha nakala iliyohifadhiwa kilicho na mauzo ya juu zaidi. Pia ni mojawapo ya vitabu ambavyo huibiwa sana kutoka maktaba ya umma katika Marekani.

                                               

Hagia Sophia

Hagia Sophia ni jina la Kigiriki la kanisa kubwa mjini Istanbul - Konstantinopoli lililobadilishwa kuwa msikiti tangu mwaka 1453 isipokuwa lilipofanywa makumbusho miaka 1934-2020.

                                               

Louvre

Louvre ni jumba la maonyesho la mjini Paris, Ufaransa, ambalo linavutia mamilioni ya wageni wanaodhuru hapo kwa sababu ya mkusanyiko wa sanaa zilizojaa katika jumba hilo. Kiasili ilikuwa jumba la wafalme wa Ufaransa katika mji wa Paris. Tangu uhamisho wa mfalme Louis XIV aliyejenga jumba mpya huko Versailles ilikaa tu ikatumiwa kwa shughuli mablimbali kati yao kupokea kazi za sanaa. Tangu mapinduzi ya Ufaransa ilifunguliwa kwa watu wote. Maonyesho ya sanaa yaliendeleakupanushwa na kuboreshwa leo hii Louvre ni makumbusho na maonyesho ya sanaa duniani inayotembelewa na watu wengi kila mwaka. ...

                                               

Makumbusho ya Taifa ya Gitega

Makumbusho ya Taifa ya Gitega ni makumbusho ya taifa yaliyopo nchini Burundi. Ndiyo makumbusho makubwa nchini Burundi. Makumbusho hayo hupatikana katika eneo la Gitega na yalianza kutumika wakati wa utawala wa wakoloni Wabelgiji mwaka 1955. Mwaka 2014 makumbusho hayo yalitembelewa na watu 20 hadi 50 kwa wiki. Makumbusho hayo yalijengwa kwa ajili ya kutunza utamaduni wa Warundi ambao ulikuwa unaelekea hatarini kutokana na muingiliano na jamii nyingine, makumbusho yakikusanya kazi nyingi za kitamaduni na kisanaa zikiwemo zile za ufalme wa Burundi. Mwaka 2015, orodha ya makusanyo katika makum ...

                                               

Mbuyu wa Ombalantu

Mbuyu wa Ombalantu ni aina ya mti mkubwa wa mbuyu unaopatikana mjini Outapi kaskazini mashariki mwa nchi ya Namibia katika barabara kuu ya Tsandi. Ni mti wenye ukubwa wa mita 28 na futi 92 ukiwa na zaidi ya miaka 800. Ndani ya shina la mbuyu huo wanaweza kuingia watu 35. Ni mbuyu ambao uliwahi kutumika kama kanisa, kituo cha polisi, nyumba na sehemu ya kujificha katika matukio tofautitofauti kulingana na historia ya Namibia. Kwa sasa ni kivutio na tangu mwaka 2004 mbuyu huo umekuwa ukitambulika kama sehemu ya urithi Sehemu za mbuyu huo zinaelezea kuhusu jamii ya Waovambo na pia historia ya ...

                                               

Yeha

Jengo refu kuliko yote nchni Ethiopia lipo katika eneo la Yeha. Huitwa pia Hekaru Kubwa la Yeha. Hili ni jengo refu lililojengwa katika staili ya Sabean na limejengwa karibu na wakati yalipojengwa baadhi ya majengo yalipo Arabia ya Kusini. Katika kipindi cha miaka ya 700 kabla ya Kristo. Japokuwa kifaa cha kutambua umri wa vitu vya kale kimefanyika katika baadhi ya vitu katika eneo la Yeha, lakini tarehe hii inatolewa na maandishi ya eneo hilo. David Phillipson anasema kuwa, ujenzi huu wenye uzuri wa kuvutia, umedumu kwa muda wote huo kutokana na utunzaji kutoka kwa wajenzi wake, wanaokadi ...

                                     

ⓘ Makumbusho

  • Jumba la Makumbusho ni jengo au taasisi penye maonyesho ya vitu vya kale, kazi za sanaa, sampuli za malighafi au vifaa kwa ajili ya kutunza kumbukumbu
  • Makumbusho ya Kitaifa Dar es Salaam ni jengo la makumbusho lililoko jijini Dar es Salaam, kwenye sehemu ya kihistoria ya Ilala mkabala wa barabara ya Shaban
  • katika makumbusho hayo. Bomas of Kenya Gedi Jumba la Mtwana Makumbusho ya Garissa Makumbusho ya Kabarnet Makumbusho ya Kapenguria Makumbusho ya Narok
  • Kenya Gedi Jumba la Mtwana Makumbusho ya Kabarnet Makumbusho ya Kapenguria Makumbusho ya Kitale Makumbusho ya Narok Makumbusho ya reli Nairobi Museums in
  • Kenya Gedi Jumba la Mtwana Makumbusho ya Garissa Makumbusho ya Kapenguria Makumbusho ya Kitale Makumbusho ya Narok Makumbusho ya reli Nairobi Kabarnet
  • Kenya Gedi Jumba la Mtwana Makumbusho ya Garissa Makumbusho ya Kabarnet Makumbusho ya Kapenguria Makumbusho ya Kitale Makumbusho ya reli Nairobi Narok
  • Makumbusho ya Kapenguria ni makumbusho yanayopatikana Kapenguria, kaunti ya Pokot Magharibi, Kenya.. Makumbusho hayo hupatikana katika gereza lililotumika
  • Kijiji cha makumbusho mjini Daressalaam ni eneo linalohifadhi mifano ya nyumba na vifaa vya tamaduni mbalimbali zinazopatikana katika nchi ya Tanzania
  • Makumbusho ya Nayuma ni makumbusho yanayopatikana katika jiji la Mongu, mkoa wa Magharibi, nchini Zambia. Makumbusho hayo ni kwa ajili ya kukuza sanaa
  • Jumba la Mtwana Makumbusho ya Garissa Makumbusho ya Kabarnet Makumbusho ya Kapenguria Makumbusho ya Kitale Makumbusho ya Narok Makumbusho ya reli Nairobi
                                               

Makumbusho ya Mutare

Makumbusho ya Mutare ni makumbusho yanayopatikana katika jiji la Mutare nchini Zimbabwe, ni moja ya makumbusho manne ya Zimbabwe, na yalianzishwa mwaka 1959.

Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar
                                               

Ubalozi Mdogo wa Uingereza, Zanzibar

Jengo hilo linasemekana lilikuwa kwa nyakati tofauti makazi ya wachunguzi maarufu, Speke, Burton na Dk Livingstone. Mnamo 1874 ubalozi ulihamishiwa Mambo Msiige na nyumba hiyo ikachukuliwa na Kampuni ya Smith MacKenzie hadi mwaka 1974 ilipogeuzwa kuwa ofisi ya serikali.