Back

ⓘ Vyombo vya habari
                                               

Mchezaji bora wa mwaka wa FIFA

Mchezaji bora wa mwaka ilikuwa tuzo iliyotolewa kila mwaka na mamlaka husika ya mchezo wa mpira wa miguu, FIFA kwa mchezaji bora duniani kati ya miaka 1991 na 2015. Makocha na manahodha wa timu za kimataifa na wawakilishi wa vyombo vya habari walichagua mchezaji waliodhani alionyesha kiwango bora kwa mwaka uliopita. Mwanzoni tuzo moja ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka ulimwenguni, sambamba kwa wanaume na wanawake zilitolewa kati ya 2001–2009. Tuzo ya wanaume ilibadilishwa kuwa Ballon dOr ya FIFA mnamo 2010 wakati tuzo za wanawake zilibakia hivyo mpaka 2015. Baada ya 2015 tuzo zote za wana ...

                                               

Uwanja wa Nyayo

Uwanja wa kitaifa wa Nyayo ni uwanja wa azma tofauti mjini Nairobi, Kenya. Iko karibu na kituo cha mji. Uwanja huu unaweza kushikilia watu elfu thelathini na ulijengwa mwaka wa 1983. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi ya kandanda. Klabu maarufu ya AFC Leopards huchezea mechi zao mengi za kinyumbani huko. Uwanja huu pia hutumika kwa Riadha na sherehe mbalimbali. Vifaa vingine katika uwanja wa nyayo ni pamoja na Gym na mita hamsini ya pahali pa kuogelea. Kukamilika kwa uwanja wa nyayo ulipatia Kenya nafasi ya kuwekwa katika jamii ya Mataifa yalioalikwa kushindania kuandaa michezo ya nne ya P ...

                                               

Africa Independent Television

AIT USA Archived Machi 31, 2009 at the Wayback Machine. Tovuti Rasmi Controversy Over Age, Cost of Presidential Jet by Rotimi Durojaiye - makala ambayo ilisababisha Durojaiye kukamatwa pamoja na Aruleba Kigezo:Kanal za kimataifa za Habari

                                               

Elenzian J. Komba

Elenzian JK ni Mwandishi chipukizi na hodari anayekuja kwa kasi kubwa kwenye uga wa Ushairi wa Kiswahili. Anatambulika kwa lakabu ya Kishairi ya "Kalamu Ndogo" ambayo yeye hujisikia fahari sana kujitambulisha kwayo, na pengine hii ndiyo sababu iliyopelekea nomino ya diwani yake ya kwanza iliyochapwa mwaka 2019 kujulikana kama WINO WA KALAMU NDOGO Mbali na jina la Kalamu Ndogo, wengine hupenda pia kumuita Mwanasayansi Mshairi kutokana na ukweli kwamba kitaaluma yeye ni Mwanafunzi wa masomo ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM KUZALIWA. Bwana Elenzian JK ama Kalamu Ndogo kwa jina la ...

                                               

Kaizer Chiefs F.C.

Kaizer Chiefs ni klabu ya Afrika Kusini, iliyoanzishwa mnamo 7 Januari 1970 katika sehemu ya Soweto, mjini Johannesburg. Jina lingine la timu hii ni Amakhosi ambayo inamaanisha "mabwana" au "Chiefs" katika lugha ya Zulu. Wao kwa kawaida kucheza mechi zao za nyumbani katika viwanja wa FNB, ABSA au Ellis Park. Hiki ndicho klabu kubwa zaidi nchini Afrika Kusini katika masuala ya mafanikio. Pia klabu hii ni yenye wafuasi wengi zaidi nchini Afrika Kusini na nchi jirani za Botswana, Zimbabwe, Zambia nk Inasemekana kwamba klabu hii ina zaidi ya wafuasi milioni 16. Wao wana uelekezano wa kimitaa n ...

                                               

Otago Daily Times

Gazeti la ODT lilianza kuchapishwa mnamo tarehe 15 Novemba 1861. Hili ndilo gazeti kongwe kabisa la kuchapishwa kila siku nchini New Zealand. Gazeti jingine kongwe ni la Christchurch, The Press, ambalo ni kongwe kuliko ODT kwa miezi sita, lilikuwa gazeti la kuchapishwa kila wiki katika miaka yake ya kwanza lakini likabadilika na kuwa la kila siku.Hivyo basi ODT ndilo kongwe katika sekta ya magazeti ya kila siku. Gazeti la ODT lilianzishwa na W.H. Cutten na Julius Vogel hapo baadaye aliitwa Sir Julius katika nyakati za uchimbuzi wa dhahabu katika eneo lao la Tuapeka, mojawapo ya maeneo ya O ...

Vyombo vya habari
                                     

ⓘ Vyombo vya habari

Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani.

Mifano yake ni magazeti, redio, televisheni au intaneti.

                                     

1. Asili ya jina la Kiingereza

Nadharia moja ni kwamba habari ilitengenezwa kwa matumizi maalum ya wingi wa neno mpya katika karne ya 14. Katikati mwa Kiingereza, neno sawa na hilo lilikuwa newes, Nouvelles kwa lugha ya Kifaransa na Neues kwa lugha ya Kijerumani. Kiasi fulani ya endeleo sawa na hilo hupatikana angalau katika lugha tatu za Kislavoni Kicheki, Kislovakia na Kipolishi, ambapo kunalo neno noviny "news", iliyoendelezwa kutoka neno nový "mwezi".

                                     

2. Historia ya kuripoti habari

Ukusanyaji wa habari ulipoanza, viwango vyake havikuwa vya hali ya juu vikilinganishwa na vya sasa. Ilbidi habari za kuchapishwa kuelezwa kupitia simu hadi kwenye kituo cha habari au kuletwa hapo na mwandishi, ambapo ilipigwa chapa na aidha kupelekwa kutumia huduma ya waya au kuhaririwa na kuwekwa pamoja na habari zingine za aina moja kwa toleo maalum. Leo hii, neno "Mchipuko wa habari" limekuwa muhimu kwani huduma za matangazo na habari za amari cable news hutumia teknolojia ya satellite kuleta matukio ya sasa moja kwa moja majumbani mwa watumizi wa huduma hii. Matukio ambayo yalikuwa yanachukua masaa au siku kuwa maarifa ya kawaida katika miji au katika mataifa yanaletwa moja kwa moja kupitia redio, televisheni, simu kiini s, na Internet.

                                     

3. Magazeti

Miji mengi makubwa yalikuwa na magazeti ya asubuhi na alasiri. Vyombo vya habari viliendelea kuwa na sehemu za kusambaza habari kuogezeka hadi kukaribia kupita kiasi.Hii ilisababisha magazeti za alasiri kufungwa zisipokuwa chache. Magazeti ya asubuhi yanapoteza mzunguko, kulingana na ripoti kutoka majarida wenyewe.

Kwa kawaida, habari zapaswa kuwa na vitu tano vya kawaida katika tukio. Hakuna maswali ambayo yanapaswa kubaki. Magazeti kwa kawaida huandika habari zenye hadithi nzito, kama zile zinazofungamana na uuaji, moto, vita, na kadhalika. Ukitumia mfano wa piramidi uliogeuzwahabari muhimu ndizo zinazoanza. Wasomaji bizi wanaweza kusoma sana au kwa ufupi kulingana na shki yao. Stesheni za mitaa na mitandao yenye miundo lazima zichukua hadithi za habari na kuzivunja katika vipengele muhimu kutokana na vikwazo vya wakati. Chaneli za habari za amari kama Fox News, MSNBC, na CNN zina uwezo wa kuchukua faida ya hadithi, hadithi zenye umuhimu ndogo zikitolewa mhanga, na kutoa habari zinazochipuka kwa kina.                                     

4. Usawa katika habari

Mashirika ya habari mara nyingi lengo lao hutarajiwa kuwa usawa; waandishi hudai kwamba wao hujaribu kufukua pande zote za suala bila mapendeleo, ikilinganishwa na watangazaji au wachambuzi, ambao hutoa maoni au dhana ya kibinafsi. Hata hivyo, serikali kadhaa huweka baadhi ya vikwazo au huchunguza mashirika ya habari kama yana mapendeleo. Kwa mfano, nchini Uingereza, mipaka huwekwa na wakala wa serikali, Ofcom Office of Communications, ambayo ni ofisi ya Mawasiliano. Magazeti na vipindi vya matangazo ya habari nchini Marekani kwa ujumla yanatarajiwa kuepuka mapendeleo isipokuwa makala yaliyodokezwa wazi. Serikali nyingi zenye chama moja zinaendesha mashirika ya habari, ambayo yanaweza kuwasilisha maoni ya serikali.

Hata katika hali ambazo usawa hutarajiwa, ni vigumu kupata usawa, na waandishi wa kibinafsi wa habari wanaweza kuwa na mapendeleo ya kibinafsi, au kuangukia katika shinikizo la kibiashara au kisiasa. Vivyo hivyo, usawa wa mashirika ya habari zinazomilikiwa na mashirika ya conglomerate zaweza kushukiwa katika mwanga wa asili ya motisha kwa vikundi vya habari kuripoti katika njia yenye nia ya kuendeleza maslahi ya kifedha ya conglomerate. Watu binafsi na mashirika ambayo ripoti ya habari imelengwa kwao wanaweza kutumia mbinu za usimamizi wa habari kujaribu kufanya hisia nzuri. Kwa sababu kila mtu ana mtazamo fulani, inatambulika kwamba hakuwezi kuwa na usawa katika kuripoti habari.

                                     

5. Karama ya Habari

Karama ya habari hufafanuliwa kama maswala kuwa na manufaa ya kutosha kwa umma au hadhira maalumu kuhakikisha umakini wa watazamaji.

Watu wa kawaida si wa karama ya habari hadi wakutane ana kwa ana na hali isiyo ya kawaida au janga. Habari hii hugawanyisha umma katika makundi mawili; wale wachache ambao maisha yao ni ya karama ya habari na umati wa watu ambao huzaliwa, huishi maisha yao na kufa bila vyombo vya habari kuwatambua hata kidogo. Daima habari hupitia maswala ambayo huvutia makini ya watu na hutofautiana na maisha yao ya kawaida. Habari hii hutumiwa kwa uepushaji na kwa hiyo matukio ya kawaida si ya karama ya habari. Hata swala liwe upendo,kuzaliwa, hali ya hewa, au uhalifu, ladha ya waandishi wa habari hukimbilia hali isiyo ya kawaida, ya ajabu.

Swala na karama ya habari ya hadithi inategemea na hadhira, kwani wao huamua ni nini linawafanya wawe au wasiwe na nia. Wakaazi wakizidi, habari ya kuripotiwa ya kimataifa pia yaongezeka, kwani kuna maslahi mapana mbalimbali yanaohusika katika uteuzi wake.

Ni sehemu ya habari tu ambayo huonyesha jumla ya maendeleo duniani.

Kuna wataalamu wanaojumlisha pia vitabu katika historia ya vyombo ya habari tangu kupatikana kwa uchapishaji vitabu; wengine wanaona pia aina za maigizo ya tamthiliya kama vyombo vya habari katika jamii za kale.

Kwa jumla maelezo ya kitaalamu ya vyombo vya habari ilikuwa hadi juzi:

"Mawasiliano kwa vyombo vya habari ni mawasiliano ambako habari zinasambazwa wazi bila kuzuia au kutenga sehemu ya watu kwa kusudi kwa njia ya mbinu za teknolojia lakini si moja kwa moja yaani kupitia umbali na kutoka upande mmoja watoa habari na wapokeaji hawabadilishani nafasi zao kwa wapokeaji waliosambazwa."

Iko wazi ya kwamba tamthiliya haikubaliki na maelezo haya. Lakini tangu kupatikana kwa intaneti hasa Web 2.0 tofauti kati ya watoa habari na wapokeaji imeshaanza kuondolewa kwa mfano kwa njia ya blogu na mitandao ya kijamii.

Vyombo vya habari vya kwanza kwa maana iliyoelezwa juu vilikuwa magazeti. Yalifuatwa na redio na baadaye televisheni. Katika miaka ya kwanza ya sinema filamu fupi za habari zilizoonyeshwa kabla ya filamu kuu zilikuwa pia chombo muhimu cha habari kwa umma.

                                               

Emily Maractho

Emily Maractho ni Mhadhiri wa Uandishi wa Habari na Mafunzo ya Vyombo vya Habari huko Chuo Kikuu cha Christian Uganda Anaongoza kitivo cha uandishi wa habari, Vyombo vya Habari na Mawasiliano katika chuo kikuu na idara mpya ya uandishi wa habari na Idara ya masomo.

Elizabeth Stumm
                                               

Elizabeth Stumm

Elizabeth Stumm alikuwa mwalimu na mwandishi wa habari. Kwa kuwa mumewe alikuwa akihusika katika huduma za umisionari, wenzi hao walihamahama mara kwa mara, lakini Stumm aliweza kufanya kazi kama mwandishi na mwalimu. Aliandika magazeti mengi na majarida kwenye vyombo vya habari na alitambuliwa na waandishi wengi kama mwandishi wa habari mahiri na mwenye ushawishi mzuri.

                                               

Seanice Kacungira

Alifanya kazi Kenya kwenye shirika la habari la Capital FM na Vyombo vya Habari vya Uganda vikiwemo Sanyu FM, WBS na NTV. Seanice na mdogo wake Nancy Kacungira kwa pamoja ni waanzilishi wa Blu Flamingo; kampuni ya usimamizi wa media ya dijitali.