Back

ⓘ Kisima




Kisima
                                     

ⓘ Kisima

Kisima ni jina la ujumla kwa shimo lolote ndefu nyembamba lililochimbwa katika ardhi, aidha kwenda chini au sambamba. Kisima kinaweza kujengwa kwa madhumuni mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uchimbaji wa maji au kioevu kingine au gesi, kama sehemu ya uchunguzi wa kiufundi wa ardhi na utathmini wa eneo la mazingira, kwa ajili ya utafutaji wa madini, au kama shimo la majaribio la kusimamisha minara na vifaa vya matumizi chini ya ardhi. Visima kutumika kama visima vya maji inaelezwa kwa kina zaidi katika makala hayo.

Katika nyanja za mashauriano za uhandisi na mazingira, neno hili hutumiwa kuelezea kwa pamoja aina zote mbalimbali za mashimo yaliyochimbwa kama sehemu ya uchunguzi wa kiufundi wa ardhi na utathmini wa eneo la kimazingira,ujulikanao kama Awamu ya Pili ya ESA. Hii ni pamoja na mashimo yanayochimbwa kukusanya sampuli za udongo, sampuli za maji au vipande vya miamba, ili kuendeleza vifaa vya kutengeneza sampuli vya in situ, au kufunga visima vya kufuatilia au piezometer. Sampuli zinazokusanywa kutoka kwa visima mara nyingi upimwa katika maabara kuamua hali zao, au kwa kutathmini viwango vya kemikali mbalimbali au vichafuzi.

Kwa kawaida, kisima kinachotumika kama kisima cha maji kinakamilishwa kwa kufunga mfereji uliosimama na kitunza kisima kushikilia kisima kisiporomoke. Hii pia husaidia kuzuia vichafuzi kutoingia katika kisima na kuzuia pampu yoyote iliyowekwa kuchota mchanga na sedimenti. Ikikamilishwa katika namna hii kisima kwa kawaida kisima cha maji: iwe ni cha maji, mafuta au cha gesi.

                                     

1. Usakinishaji

Visima vinaweza kuchimbwa kwa kutumia mashine kubwa ya kuchimba, au ya kuendeshwa kwa mkono. Mashine na mbinu za kuendeleza kuchimba kisima zinatofautiana kulingana mtengenezaji, hali ya kijiolojia, na lengo kusudi.

                                     

2. Mbadala wa hali ya hewa

Viwango vya joto katika kisima vinaweza kutumika kama mibadala ya joto. Hii ni kwa sababu uhamishaji wa joto kupitia ardhini hufanyika polepole, hivyo kwa kupima joto na kutumia mifumo ya hisabati viwango vya joto vya zamani vinaweza kurejelewa miaka mia kadhaa mbeleni Huang et al. 2000

Kisima cha uyeyukaji wa barafu hakina maji machafu kama ilivyo lkatika visiwa vya mawe. Kisima cha Central Greenland huonyesha:

joto zaidi ya miaka 150 iliyopita ya wastani wa 1 ° C ± 0.2 ° C iliitangulia na karne chache zenye baridi. ililotangulia hii ilikuwa kipindi cha joto katika AD 1000, ambacho kilikuwa na joto kuliko karne ya 20 kwa wa 1 ° C.

                                     

3. Viungo vya nje

 • Jinsi ya kuchunguza kutu na uharibifu mwingine kwenye visima
 • Ufuatiliaji wa Kisima
 • Ushauri wa kiufundi wa jinsi ya kuchimba kisima
 • Mwongozo kuhusu upimaji wa visima, magonjwa yanayohusiana na visima, n.k. to US Center for Disease Control and Prevention
 • Visima kama chanzo cha maji cha kibinafsi Archived Januari 10, 2010 at the Wayback Machine.
                                     
 • Kisima ni kata ya Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9, 885
 • Kisima Majongoo ni kata ndani ya Jiji la Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata
 • Ziwa Kisima ni ziwa dogo la Kenya kaunti ya Samburu Orodha ya maziwa ya Kenya www.getamap.net
 • Mto Kisima ni kati ya mito ya mkoa wa Morogoro Tanzania Mashariki ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi. Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya
 • Kisiwa cha Kisima ni kati ya visiwa vya Uganda kusini Mkoa wa Kati, Wilaya ya Mukono Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa. Orodha
 • iliyotolewa na gazeti la The Standard Agosti 2007 Kisima Music Awards 2004 - Mwanamziki wa Boomba Bora Kisima Music Awards 2006 - Mwanamziki Mwanaume Bora
 • kinachohitajika kulingana na kipenyo cha kisima na kina cha maji kwenye kisima hicho. Kwa mfano, kisima chenye kipenyo cha futi 5 huhitaji vikombe
 • Tuzo za Kisima za mwaka wa 2003 - Msanii bora wa R & B wa mwaka. Tuzo za Kisima za mwaka wa 2003 - Msanii bora wa kike. Kuteuliwa: Tuzo za Kisima za mwaka
 • mwanzilishi wa Tuzo za Kisima tuzo za kifaari za kila mwaka ambazo hufanyikia nchini Kenya. Alituzwa Mtayarishaji wa mwaka katika Tuzo za Kisima mwaka wa 2004
 • Mji ulianzishwa 1409. Kuna boma katika kisiwa: Trakų salos pilis Boma la kisima cha Trakai Iko kando ya Galvė. Karaite Kenesa sunagogi Afisi ya posta
 • SoundAfrica Aliteuliwa katika vitengo vitatu katika Tuzo za Muziki za Kisima za mwaka wa 2008 : Msanii wa Mwaka Msanii bora wa kuchanganya utamaduni
 • matumizi ya binadamu, kwani mpaka sasa ina visima virefu viwili tu: kisima cha Sokoine na kisima cha Mdilu. Upande wa ulinzi kuna kituo kimoja kidogo cha polisi
 • Beat Tuzo za muziki za Kisima 2006 - Nyimbo bora ya Uganda Mama Rhoda na video bora ya Uganda Mama Rhoda Tuzo za muziki za Kisima 2007 - Nyimbo bora ya