Back

ⓘ Jamii:Elimu nchi kwa nchi
                                               

Elimu nchini Singapore

Elimu nchini Singapore inasimamiwa na Wizara ya Elimu, ambayo inasimamia maendeleo na utawala wa shule za serikali zinazopokea fedha za walipa kodi, lakini pia ina jukumu la ushauri na usimamizi juu ya shule binafsi. Kwa shule zote, za binafsi na za serikali, kuna tofauti katika kiwango cha uhuru katika mtaala wao, wigo wa msaada wa fedha toka kwenye kodi na ufadhili. Matumizi ya elimu mara nyingi huwa asilimia 20 ya bajeti ya kitaifa ya mwaka, ambayo inasaidia elimu ya shule za serikali na elimu ya shule za binafsi kwa wananchi wa Singapore. Wasio-raia hubeba gharama kubwa zaidi za kuelim ...

                                     

ⓘ Elimu nchi kwa nchi

 • kama nchi inayoendelea kutokana na Pato lake dogo la Taifa lakini ina kiwango cha chini cha vifo vya watoto wachanga na kiwango cha juu cha elimu kuliko
 • Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni
 • mfululizo wa masomo katika nchi nyingi. Masomo ya msingi huchukua kati ya miaka 5 hadi 8 ya kwanza ya elimu rasmi. Kwa jumla elimu ya juu hujumulisha miaka
 • ibada ya kifungu, shule sasa ingemaanisha kupata elimu ambayo ingeweza kuwaruhusu Waafrika kushindana na nchi kama vile Marekani na zile zilizoko Ulaya. Afrika
 • katika nchi zilizoendelea hadi kufikia asilimia 50 wameweza kupata elimu ya juu wakati fulani maishani mwao. Kwa hiyo, elimu ya juu ni muhimu kwa uchumi
 • kamili kati ya elimu ya msingi na ya upili hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Tofauti hizi zipo hata katika nchi lakini kwa jumla hutokea kati
 • na mfumo maalumu ambayo watu hufunzwa habari za elimu Pia ni jina la majengo yake. Leo hii katika nchi nyingi watoto na vijana wanatakiwa waende shule
 • wa viwango vya maisha ya kadri na ya juu, ambao kwa ujumla hufuata mfumo wa elimu ya Uingereza wa elimu ya sekondari na msingi. Kati ya watoto wote nchini
 • vile elimu ya mifugo, masuala ya madawa, uwekezaji, uhasibu na kozi nyinginezo kwa sasa hupatikana mtandaoni. Elimu hii imekuwa kawaida katika nchi nyingi
 • Elimu ya kujitegemea ni elimu inayolenga si nadharia au ujuzi tu, bali namna ya kufaidika nayo hata upande wa uchumi kwa kufanya nchi isihitaji kutegemea
 • Sosholojia ya elimu ni sayansi inayohusu uhusiano ya elimu na jamii. Kwa upana zaidi, elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama
 • yaani Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa. Ni kitengo cha Umoja wa Mataifa ambacho kinashughulika habari za elimu sayansi na utamaduni