Back

ⓘ Benki
Benki
                                     

ⓘ Benki

Benki ni taasisi inayoshughulika biashara ya fedha. Shughuli zake za msingi ni pamoja na kukopa na kukopesha fedha.

Kwenye ngazi hii benki inatunza pesa ya watu wengi. Kwa utunzaji huu benki haiachi pesa kukaa bure tu lakini inaitumia kwa biashara yake. Inaitumia kukopesha kampuni au watu wanaohitaji fedha.

Wanaokopa pesa wanalipa riba ambayo ni mapato ya benki kwa huduma ya kukopesha; kutokana na mapato haya benki inalipa pia riba ndogo zaidi kwa wale waliopeleka pesa zao kwake. Tofauti kati ya viwango vya aina hizi mbili za riba ni faida na pato la benki. Jambo muhimu linaloangaliwa na benki wakati wa kukopesha pesa ni uwezo wa mkopaji kurudisha deni lake.

Asili ya benki ilikuwa biashara ya wakopeshaji fedha. Siku hizi kuna benki za aina mbalimbali pamoja na:

 • Benki za biashara ambazo ni makampuni yanayolenga kupata faida kubwa kwa kutoa huduma za kifedha. Benki hizi zinashughulikia mawasiliano kati ya watu au makampuni yenye pesa za ziada na watu au makampuni wanaohitaji pesa.
 • Benki za ushirika ambazo mara nyingi hazilengi faida kubwa lakini huduma kwa wateja wasio na pesa nyingi; benki hizi zinapokea pia kiasi kidogo cha pesa na kutoa mikopo kwa wajengao nyumba au wafanyabiashara wadogo. Benki hizi hutumia mfumo wa uwekezaji pesa ili kujikuza pamoja na wateja wao. Wamarekani pia hutumia mbinu hii ambayo wanaiita 401k.
 • Benki kuu ambayo kwa kawaida ni taasisi ya serikali inayosimamia utoaji wa pesa taslimu na kiasi cha pesa inayopatikana sokoni kwa jumla. Inasimamia pia kazi ya benki za biashara na za ushirika.
                                     
 • Kwa maana nyingine ya neno hili tazama noti maana Noti ya benki kifupi: noti, kutoka Kiingereza banknote kwa kawaida ni kipande cha karatasi pia:
 • Benki ya Kiislamu ya Maendeleo pia inajulikana kama Islamic Development Bank IsDB ni taasisi ya fedha ya maendeleo ya kimataifa katika Jeddah, Saudi
 • inajulikana kama Benki ya Afrika, ni benki ya kimataifa, mtoaji mkubwa wa huduma za kifedha katika nchi kumi na nane za Afrika Kusini kwa Sahara. Benki ya Afrika
 • 39.289167 Amana Bank ni benki ya biashara katika Tanzania. Imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania, inayosimamia na kudhibiti benki za kitaifa. Makao makuu
 • Benki ya Barclays ya Tanzania kifupi: BBT ni benki ya biashara nchini Tanzania na kampuni ya Afrika Kusini inayotegemea kundi la Barclays Africa. Imepatiwa
 • Kundi la Benki ya Dunia WBG ni familia ya mashirika matano ya kimataifa ambayo hutoa mikopo kwa nchi zinazoendelea. Ni benki kubwa na inayojulikana
 • Benki ya Letshego Tanzania Limited, inajulikana kama Letshego Bank, ni benki ya biashara iliyopo Tanzania. Imepewa dhamana ya kibenki na Benki Kuu ya Tanzania
 • Kikuyu. Mji huu pia una matawi ya benki kadhaa kama vile Benki ya Equity, Benki ya Family, Benki ya Cooperative na Benki ya Barclays. Pia kuna viwanda mbalimbali
 • Benki ya ABC BancABC inayojulikana kwa jina rasmi kama ABC Holdings Limited, ni mtoa huduma wa kifedha wa Afrika, makao makuu yakiwa Gaborone, Botswana
 • Hii ni orodha ya benki za biashara nchini Cote d Ivoire: Banque Atlantique Côte d Ivoire BACI Banque Internationale pour le Commerce et l Industrie

Users also searched:

aina za akaunti za benki, crdb bank - ebanking solution, crdb bank huduma kwa wateja, crdb internet banking, kazi za benki,

...
...
...