Back

ⓘ Jamii:Historia nchi kwa nchi
                                               

Historia ya Visiwa vya Karibi

Historia ya Visiwa vya Karibi inaeleza ramani ya kisasa ya eneo hili na mchanganyiko wa lugha na tamaduni unaopatikana kwenye visiwa hivyo vilivyopo kati ya Amerika ya Kusini na Amerika ya Kaskazini.

                                               

Historia ya Zanzibar

Mabaki ya vifaa vya mawe inaonyesha kwamba kwa kiasi cha miaka 20.000 kumekuwepo makazi ya binadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivyo ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya ulimwengu wakati Waajemi wafanyabiashara walivigundua na kuvifanya ndiyo makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India na Afrika. Katika karne ya mwanzo BK Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki vilikuwa katika ufalme wa Saba. Katika kipindi cha karne ya 3 na ya 4, Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki. Katika karne ya 7, Waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pam ...