Back

ⓘ Jamii:Vyuo vikuu
                                               

Chuo Kikuu

Chuo Kikuu ni taasisi ya elimu ya ngazi ya juu ambako wanafunzi wanafundishwa na wataalamu wa fani mbalimbali ambao hufundisha pamoja na kuendesha uchunguzi wa elimu mpya. Wanafunzi husoma kwenye chuo kikuu kwa shabaha ya kupata elimu hadi kupita mitihani ya shahada au digrii kama vile ya bachelor ya kwanza, ya uzamili master ya pili na ya uzamivu, PhD ya tatu.

                                               

Uhuru wa taaluma

Uhuru wa taalumu humaanisha haki mbalimbali za binadamu pamoja na wajibu wa pekee vinavyostahili kupatikana kwa shughuli na maisha ya vyuo vikuu pamoja na mafundisho na uchunguzi wa sayansi kwa jumla.

                                     

ⓘ Vyuo vikuu

 • chuo cha ualimu, chuo cha teolojia, chuo cha uganga. Hata hivyo kuna vyuo vikuu vinavyokazia na kufundisha hasa upande mmoja wa elimu kuunganisha kazi
 • ni orodha ya Vyuo vikuu katika nchi ya Norwei kwa sasa na inaeleza mahali vinapopatikana, ufupisho wa majina na miaka ya uasisi. Vyuo Vikuu vyote vya Norwei
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Ghana. Kuna Vyuo vikuu vya umma saba katika nchi ya Ghana lakini pia kuna taasisi zingine zinazotoa shahada ya kwanza
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Uganda. 1. Chuo Kikuu cha Busitema BSU Busitema, Wilaya ya Busia, 2007 2. Chuo Kikuu cha Gulu Gu Gulu, 2002 3
 • Taasisi za elimu ya juu zimeteuliwa na sheria zilizotungwa hasa sheria ya vyuo vikuu Yliopistolaki, 645 1997 Kulingana na amri kuhusu mfumo wa shahada katika
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Uhindi. Uhindi ina vyuo vikuu binafsi na vya umma, vingi ambavyo vimesaidiwa na Serikali ya India na serikali ya majimbo
 • orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Malaysia. Vyuo vikuu hivi ni vya aina mbili yaani vyuo vya umma au serikali na vyuo vya kibinafsi. Vyuo vya kibinafsi
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Ujerumani. Chuo Kikuu cha Ufundi cha Aachen RWTH Aachen Chuo Kikuu cha Augsburg Chuo Kikuu cha Bamberg Chuo
 • Orodha ya Viongozi wa Vyuo Vikuu Orodha ya Vyuo Vikuu nchini Uganda Elimu nchini Uganda
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Kenya. Chuo Kikuu cha Kenyatta - Nairobi Chuo Kikuu cha Moi - Eldoret Chuo Kikuu cha Nairobi - Nairobi Chuo
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Afrika Kusini. Mnamo mwaka wa 2004 nchi ya Afrika Kusini ilianza kurekebisha mfumo wake wa elimu yake ya juu