Back

ⓘ Jamii:Mbegu za elimu
                                               

Actors Studio

Majiranukta kwenye ramani: 40.760068°N 73.992654°W / 40.760068; -73.992654 Actors Studio ni shirika la uwanachama kwa ajili ya waigizaji wa kulipwa, waongozaji wa tamthilia na waandishi wake katika 432 West 44th Street mjini Clinton karibia na Manhattan huko New York City. Shirika lilianzishwa mnamo tar. 5 Oktoba 1947, na Elia Kazan, Cheryl Crawford, Robert Lewis na Anna Sokolow ambaye ndiye aliyefundisha harakati za waigizaji kuwa wanachama. Lee Strasberg alijunga baadaye na kuchukua uongozi mnamo 1951 hadi kifo chake kunako 17 Februari 1982. Kwa sasa shirika linaendeshwa na Al Pacino n ...

                                               

Chuo Kikuu cha Calabar

Chuo Kikuu cha Calabar ni chuo kikuu mjini Calabar, jimbo la Cross River, kusini mashariki mwa Nigeria. Ni mmoja ya vyuo vikuu vya Nigeria vya kizazi cha pili. Chuo Kikuu cha Clabar kilikuwa kampasi ya Chuo Kikuu cha Nigeria hadi mwaka wa 1975. Kilianzishawa ili kutimiza agizo hili la jadi na msemo wake "Maarifa ya Huduma ". Makamu wa Chansela ni Bassey Asuquo. Msajili ni Bibi Julia Omang Dr. The chuo kikuu cha Calabar kilikuwa moja ya vyuo vikuu vya Nigeria kusajili wanafunzi kupitia potali ya Chuo Wanafunzi wa kiume wanajulikana kama Malabites, wakati wanafunzi wa kike ni Malabresses. Vy ...

                                               

Chuo Kikuu cha Abraham Lincoln

Chuo Kikuu cha Abraham Lincoln ni chuo kikuu cha mtandaoni kilichoko Los Angeles, California nchini Marekani. Wanafunzi huweza kuhudhuria masomo kwa njia ya intaneti au kwenda madarasani chuoni hapo.

                                               

Chuo Kikuu cha Addis Ababa

Addis Ababa University ni chuo kikuu nchini Ethiopia. Awali iilijulikana kwa jina "Chuo na Chuo Kikuu cha Addis Ababa" katika uanzilishi chake, kisha kikabadilishwa jina kwa ajili ya kaizari wa Ethiopia Haile Selassie I mwaka 1962,na kupokea jina linaloyumika leo hii mwaka wa 1975. Ingawa chuo hiki kina kampasi sita kati ya saba ambazo ziko ndani ya Addis Ababa ya saba iko katika Debre Zeit, takriban kilomita 45 mbali, inao pia matawi katika miji mingi kote Ethiopia, kudaiwa kuwa "chuo kikuu kubwa katika Afrika. Serikali huwatuma wanafunzi waliohitimu katika vyuo vikuu hivi baada ya kukami ...

                                               

Chuo Kikuu cha Aga Khan

Chuo Kikuu cha Aga Khan ni chuo kikuu binafsi kilichopo nchini Pakistan na matawi katika nchi nyingine mbalimbali, mojawapo likiwa jiji la Dar es Salaam, Tanzania.

                                               

Chuo Kikuu cha Arusha

Chuo Kikuu cha Arusha ni chuo kikuu binafsi kilichopo jijini Arusha, Tanzania. Chuo kikuu cha Arusha kinamilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.

                                     

ⓘ Mbegu za elimu

 • kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi wao kupitia masomo kama vile ya kuandika, kusoma
 • Elimu ya sekondari shule za upili katika mifumo ya kisasa ya elimu ulimwenguni, huchukua kipindi cha pili cha elimu rasmi ambayo hutokea wakati wa ujana
 • Elimu ya Haki za Binadamu hutafsiriwa kama mfumo wa kujifunza unaotengeneza elimu hitajika, maadili, na ustadi wa haki za binadamu ambao lengo lake ni
 • pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu. Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu na huambatana na kutolewa kwa vyeti, stashahada za diploma
 • Elimu nchini Singapore inasimamiwa na Wizara ya Elimu MOE ambayo inasimamia maendeleo na utawala wa shule za serikali zinazopokea fedha za walipa kodi
 • 2009 - 02 - 21. Iliwekwa mnamo 2018 - 06 - 12. Elimu ya Tanzania Serikali ya Tanzania Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Wizara za Serikali ya Tanzania Ministry of
 • Elimu mbadala, ambayo pia hujulikana kama elimu isiyo rasmi, ni dhana yenye maana pana na inayoweza kutumiwa kurejelea aina zote za elimu zilizo nje ya
 • ya elimu ni uchunguzi wa jinsi watu hujifunza katika mandhari ya elimu ufanisi wa maingiliano ya elimu saikolojia ya kufunza na saikolojia jamii za shule
 • kozi za kazi maalumu, kama vile elimu ya mifugo, masuala ya madawa, uwekezaji, uhasibu na kozi nyinginezo kwa sasa hupatikana mtandaoni. Elimu hii imekuwa
 • school ni taasisi inayoongozwa na mfumo maalumu ambayo watu hufunzwa habari za elimu Pia ni jina la majengo yake. Leo hii katika nchi nyingi watoto na vijana
 • kwa njia ya amani Kupata elimu Kufunga ndoa na mtu mzima yeyote Kwa mengine angalia makala juu ya tangazo kilimwengu la haki za binadamu. Link to the Universal
 • Elimu madini kwa Kiingereza: mineralogy ni tawi la jiolojia linalochunguza kemia, muundo na tabia za madini. Madini ni vitu ambavyo huunda miamba. Kuna
                                               

Baraza la Sanaa Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa ni Shirika Maalum lenye mwingiliano wa kiutendaji kati ya serikali na wadau wa sanaa ambalo liliundwa makhususi kwa lengo la kusimamia shughuli za sanaa nchini Tanzania, liliundwa kwa mujibu wa sheria Na. 23 ya 1984. Ni wakala wa Serikali katika kusimamia na kukuza shughuli za Sanaa.

                                               

Booker Academy

Booker Academy ni shule ya kibinafsi inayomilikiwa na kampuni ya sukari ya Mumias, magharibi mwa Kenya. Ina shule ya watoto wachanga zaidi, shule ya msingi na shule ya upili.

Centro Federal de Educação Tecnológica Celso Suckow da Fonseca
                                               

Centro Federal de Educação Tecnológica Celso Suckow da Fonseca

Chuo Kikuu cha Celso Suckow da Fonseca ni chuo kikuu nchini Brazil, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1917 katika Rio de Janeiro, Brazil.

Centro Federal de Educação Tecnológica de Minas Gerais
                                               

Centro Federal de Educação Tecnológica de Minas Gerais

Centro Federal de Educação Tecnológica de Minas Gerais ni chuo kikuu nchini Brazil, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1910 katika Belo Horizonte, Brazil.

                                               

Chuo Kikuu cha Ardhi

Chuo Kikuu cha Ardhi ni chuo kikuu cha umma kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Kilianzishwa rasmi tarehe 28 Machi 2007, ingawa kimekuwa kikitoa mafunzo kwa zaidi ya miaka 60 sasa. Kiko jirani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo kilikuwa chuo kikuu kishiriki kuanzia mwaka 1996 hadi 2007.

Chuo Kikuu cha Bordeaux I
                                               

Chuo Kikuu cha Bordeaux I

Chuo Kikuu cha Bordeaux ni chuo maarufu nchini Ufaransa kilichopo kwenye mji wa Bordeaux. Bordeaux I ina idara 10. Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.

Chuo Kikuu cha Feira de Santana
                                               

Chuo Kikuu cha Feira de Santana

Chuo Kikuu cha Feira de Santana ni chuo kikuu nchini Brazil, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1976 katika Feira de Santana, Brazil.

                                               

Chuo Kikuu cha Idaho

Chuo Kikuu cha Idaho ni chuo kikuu cha umma huko Moscow, Idaho, Marekani. Chuo kikuu kina wanafunzi 11.957. Kilianzishwa mwaka 1889. Rais wa sasa wa chuo kikuu hicho ni M. Duane Nellis.

                                               

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana Morogoro, Tanzania. Chuo kikuu cha Morogoro kilianzishwa rasmi mwaka 2004. Chuo kikuuu cha Morogoro kinatoa jumla ya programu nane 8 katika ngazi ya shahada.

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania
                                               

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania ni chuo kikuu cha Kanisa Katoliki kinachopatikana katika wilaya ya Nyamagana, jiji la Mwanza, Tanzania. Chuo kilianzishwa mwaka 1998 kikapata usajili wa kudumu mwaka 2002 kama chuo kikuu binafsi.