Back

ⓘ Busara                                               

Tumi Molekane

Tumi Molekane ni mshairi na mwimbaji wa muziki wa kufokafoka wa nchini Afrika ya Kusini; alikuwa mmoja wa viongozi wa kundi la muziki la Tumi and the Volume, kundi hili lilikuja kuvunjika mwaka 2012. Mwaka 2016 Tumi alianzisha kundi jingine lilioitwa Stogie T na kuachia albamu yao ya kwanza ilioitwa Stogie T wakishirikiana na Da L.E.S, Lastee, Emtee, Nasty C, Nadia Nakai na Yanga.

Busara
                                     

ⓘ Busara

Busara ni mojawapo kati ya maadili bawaba yaliyotambulikana na wanafalsafa wa Ugiriki.

Ndiyo adili linalofanya akili izingatie kwa makini hali halisi ili kutambua yaliyo mema na kuchagua njia ya kufaa kuyafikia.

Aristotle alifuatwa na Thoma wa Akwino akisema busara ndiyo kanuni nyofu ya utendaji.

Adili hilo halichanganyikani na woga unaomzuia mtu asitende inavyotakiwa, wala na ujanja unaotumia undumakuwili na ulaghai.

Kwa Kilatini inaitwa "auriga virtutum – dreva wa maadili", kwa kuwa inatakiwa kuongoza utekelezaji wa maadili mengine yote ikiyaonyesha kanuni na kiasi. Busara ndiyo inayoongoza uamuzi wa dhamiri. Mwenye busara anatenda kufuatana na uamuzi huo. Kwa njia ya busara tunatumia kwa hakika misimamo ya kiadili katika nafasi mbalimbali na kuondoa wasiwasi kuhusu la kutenda.

                                               

Kiburi si maungwana

Kiburi si maungwana ni methali ya Kiswahili. Maana yake ni kwamba mtu mwenye heshima na busara hatakiwi kuwa na kiburi. Hutumika kusisitiza kuwa mtu muungwana sharti awathamini wenzake na kuwatendea haki na sawa.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →