Back

ⓘ Maisha ya kirohoMaisha ya kiroho
                                     

ⓘ Maisha ya kiroho

Maisha ya Kiroho katika Ukristo ndiyo maisha ya kuongozwa na Roho Mtakatifu nyuma ya Yesu Kristo kwa utukufu wa Mungu Baba.

Ufuasi huo unafanyika pamoja na waamini wengine katika Kanisa, jumuia ya wanafunzi wa Yesu inayotokana na kundi la kwanza la Mitume wake.

Mwanzo wake wa kawaida ni ubatizo, uliofananishwa na Yesu mwenyewe na aina ya kuzaliwa upya kwa maji na Roho Mtakatifu.

Maisha hayo yanalishwa mfululizo na Neno la Mungu na ekaristi.

Lengo ni kufikia muungano na Mungu katika uzima wa milele, lakini huo unaanzia hapa duniani katika ustawi wa maadili makuu ya imani, tumaini na upendo, pamoja na vipaji vya Roho Mtakatifu

Teolojia hiyo ya maisha ya kiroho ya Kikristo inaitwa pia kifupi Teolojia ya Kiroho.

                                     

1. Marejeo

  • F. VAN VLIJMEN, W.F., Safari ya Kiroho, Mafundisho kwa Watawa vitabu 2 – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1978
  • R. GARRIGOU-LAGRANGE, O.P., Hatua Tatu za Maisha ya Kiroho, Utangulizi wa Uzima wa Mbinguni – tafsiri fupi ya Rikardo Maria, U.N.W.A. – ed. Ndugu Wadogo wa Afrika – Morogoro 2006
                                     

2. Viungo vya nje

  • Archived Januari 24, 2012 at the Wayback Machine. Tafsiri fupi ya kozi ya maisha ya kiroho "Hatua Tatu ya Maisha ya Kiroho" iliyoandikwa kwa Kifaransa na padri Reginald Garrigou-Lagrange wa shirika la Wadominiko
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →