Back

ⓘ Familia                                               

Familia

Familia ni kikundi cha watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja. ..

                                               

Lugha za Kihindi-Kiajemi

Lugha za Kihindi-Kiajemi ni kundi kubwa zaidi katika familia ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Zinajumuisha lugha za Kihindi-Kiarya na lugha za Kiajemi. Zinazungumzwa zaidi kwenye Bara Hindi na Nyanda za Juu za Iran. Hapo zamani zilitumiwa pia katika Asia ya Kati, mashariki mwa Bahari ya Kaspi.

                                               

Panya-vinamasi

Panya-vinamasi ni wanyama wagugunaji wa jenasi Dasymys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika vinamasi na maeneo manyevu mengine yenye nyasi ndefu nyingi, mara nyingi kwenye miinuko.

                                               

Tala (goddess)

Tala, kutokana na mungu wa Kihindu Tara, ni jina la mungu wa kike ambaye ni nyota ya asubuhi na jioni katika hadithi za Kitagalogi. Asili yake inategemea kulingana na mkoa. ambapo kuna Golden Tara, sanamu ya dhahabu ya Majapahit.Mnamo mwaka 1918 eneo la Agusan rasmi iligunduliwa Tala. Shujaa wa Tala ana uwiano karibu sana na hadithi kati ya tamaduni zisizo za kiFilipino kama vile kwa India makabila kama ya Bihar, Savara na Bhuiya, pamoja na Indianized Semang. Hadithi nyingi zinaelezea zaidi kuwa Tala ni mmoja wa binti watatu wa Bathala kwa mwanamke anayekufa. Dada wa Tala ni pamoja na Maya ...

                                               

Acaste

Cerceis ni mzuri kwa muonekano na mwenye macho laini, Eudora, Tyche, Amphirho, Ocyrrhoe, Styx ambaye ndiye mkuu wa wote. Hawa ndio binti wakubwa waliotokea Oceanus na Tethys; lakini inasemekana kuna mengi zaidi ya hayo.

                                               

Kwelea Domo-jekundu

Kwelea domo-jekundu ni ndege mdogo wa familia Ploceidae ambaye ni ndege wa porini wengi kabisa duniani. Wanatokea Afrika kusini mwa Sahara nje ya misitu mizito. Wanafanana na kwera lakini hawana rangi ya manjano. Husuka viota vyao kama kwera kwenye miti yenye miiba au miwa au matete.

                                               

Maria (Kipindi cha televisheni)

Maria ni kipindi cha televisheni nchini Kenya ya hadithi ya mapenzi iliyoelekezwa na Julian S. Mwanzele inayomshirikisha Yasmin Said kama mwigizaji mkuu, pamoja na Brian Ogana na Bridget Shighadi katika kipindi chao cha kwanza kwenye televisheni. Kilionyeshwa kwa mara ya kwanza Oktoba 10, 2019 na onyesho la mwisho likafanyika Machi 18, 2021, baada ya jumla ya maonyesho 374. Kipindi hiki kilionyeshwa katika runinga ya Citizen TV kila siku ya wiki saa 7:30 usiku saa za Afrika Mashariki na pia katika chaneli ya Viusasa. Hadithi hii ya mapenzi inaangazia wahusika watatu wakuu kwenye kipindi - ...

                                               

Chiwetel Ejiofor

Chiwetel Umeadi Ejiofor ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa Uingereza. Ejiofor amepokea tuzo nyingi na uteuzi wa uigizaji pamoja na tuzo ya BAFTA Orange Rising Star katika mwaka wa 2006, mbili za tuzo la Golden Globe, na Tuzo ya Laurence Olivier la Mwigizaji Bora kwa utendaji wake huko Othello mwaka wa 2008. Anajulikana sana kwa utendaji wake katika filamu ya ’12 Years A Slave’ ambapo aliigiza kama jukumu la kuongoza Solomon Northup. Anajulikana pia kwa kucheza Okwe katika Dirty Pretty Things’ 2002, The Operative katika Serenity’ 2005, Lola katika Kinky boots’ 2005, Luke katika Child ...

                                               

Dennis Kipruto Kimetto

Dennis Kipruto Kimetto ni mwanariadha wa masafa mrefu wa Kenya ambaye hukimbia katika mashindano ya kukimbia barabarani. Kimetto alikuwa na rekodi ya ulimwengu kwa marathoni ya wanaume na wakati ya 2:02:57. Yeye alikuwa na rekodi hiyo mpaka Eliud Kipchoge alipovunja rekodi mwaka wa 2018.

                                               

Kipanyanyasi-milia

Panya hawa wana mlia mweusi mgongoni na spishi wengine zina milia na madoa mengine pia. Urefu wa mwili ni mm 90-140, urefu wa mkia ni mm 95-150 na uzito ni g 18-70. Kwa ujumla huzingatiwa kukiakia wakati wa mchana, lakini angalau spishi kadhaa zinaweza kukiakia usiku. Hula majani, mizizi na mbegu na mara kwa mara wadudu pia. Kuna wachanga hadi 12 kwa kila mkumbo, lakini 4-5 ni kawaida zaidi. Wanaweza kuwa na mikumbo minne katika kipindi cha chini ya miezi minne. Wastani wa matarajio ya muda wa kuishi ni mfupi sana, porini mara nyingi mwaka mmoja tu, lakini L. striatus aliishi kwa karibu mi ...

                                               

Kipanya-milia

Vipanya-milia ni wanyama wagugunaji wa jenasi Hybomys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea katika misitu ya mvua ya Afrika ya Magharibi na ya Kati.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →