Back

ⓘ Familia
                                               

Msanduku

Misanduku ni miti ya familia Cupressaceae katika oda Pinales. Spishi fulani huitwa mreteni, msekwoya au msuja.

                                               

Kisaga

Visaga ni mbawakawa wa nusufamilia Bruchinae katika familia Chrysomelidae. Wadudu hao hujilisha kwa mbegu za spishi za Fabaceae na za familia nyingine kadhaa. Hupitia takriban maisha yao yote katika mbegu moja. Familia hii inapatikana duniani kote ina spishi zaidi ya 4000. Tabia zao zinafanana na zile za vidungadunga na kwa hivyo moja ya majina yao kwa Kiingereza ni bean weevils. Kwa ujumla visaga ni wagumu wenye umbo la duaradufu na vichwa vyao vidogo vimeinamishwa chini. Urefu wao unaanzia mm 1 kufikia mm 22 kwa spishi fulani za kitropiki. Rangi kawaida ni nyeusi na/au kahawia na mara ny ...

                                               

Etiyé Dimma Poulsen

Etiye alipokuwa na umri wa miaka sita, aliishi nchini Ethiopia, akahamia Tanzania na kisha Kenya na wazazi wake waliomlea. Walikuwa wa Denmark, na walihamisha familia kwenda Denmark wakati alikuwa na miaka kumi na nne. Huko alisoma historia ya sanaa chuoni na kufundisha sanaa katika programu anuwai za vijana. Hapo awali alilenga kuchora mandhari kwa kutumia mafuta kwenye turubai, Nia yake ya kuunda sanaa ya zamani ilichochea kuhamia Ufaransa akiwa na miaka 23 na kuanza kufanya kazi za sanaa ya udongo. Kwa sasa anaishi na anafanya kazi katika studio huko Antwerp, Ubelgiji. Msukumo wake unat ...

                                               

Panya-nyasi

Panya-nyasi ni wanyama wagugunaji wa jenasi Arvicanthis katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika nyika na savana mpaka nyanda za juu.

                                               

Panya-maji

Panya-maji ni wanyama wagugunaji wa jenasi Colomys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika misitu na savana karibu na vijito, mabwawa na vinamasi.

                                               

Chinwe Chukwuogo-Roy

Chinwe Ifeoma Chukwuogo-Roy alikuwa msanii wa sanaa ya uchoraji aliyezaliwa nchini Nigeria katika jimbo la Anambra lakini altumia muda wake mwingi wa maisha ya ujana katika mpaka wa nchi ya Kamerun kabla ya kurejea katika makazi ya familia yake huko Umubele na mwaka 1975 alikwenda kuishi Uingereza. Michoro yake, machapishio na michongo yake vimekuwa katika maumbo tofauti na kumfanya kuweza kuonekana zaidi kimataifa mwaka 2002 yeye pamoja na Ben Enwonwu walipata nafasi ya kufanya mchoro wa Malkia wa Elizabeth wa pili wa Uingereza. Chukwuogo-Roy alichaguliwa kuwa mwanachama katika The Order ...

Familia
                                     

ⓘ Familia

Familia ni kikundi cha watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto. Kikundi hicho mara yingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja.

                                     

1. Aina za familia

Aina za familia zinatofautiana duniani kutokana na utamaduni na hali ya jamii.

Katika nchi nyingi za Afrika familia ndogo ya baba, mama na watoto kwa kawaida ni sehemu tu ya familia kubwa zaidi pamoja na ndugu wa baba na mama, akina babu na bibi na kadhalika. Lakini hata Afrika kuna taratibu tofautitofauti kama ni ndugu wa baba au ndugu wa mama wanaotazamiwa kuwa karibu zaidi kwa watoto wa familia ndogo.

Vilevile kuna tofauti kama muundo wa kawaida ni mume mmoja na wake wengi na kila mmoja akiwa na watoto wake tena.

Katika jamii za nchi zilizopita kwenye mapinduzi ya viwandani kama Ulaya na Marekani familia inamaanisha hasa familia ndogo inayokaa pamoja katika nyumba. Ukoo haujapotea lakini umuhimu wake umepungua sana na mara nyingi ni chaguo la watu ndani ya ukoo kama wanapenda kujumuiana na ndugu zao au la.

Katika mazingira ya miji mikubwa au pale ambako koo za kale zimeporomoka na kuachana kuna jumuiya ndogo sana kama mama na watoto ambao ni familia bila baba au wanaume. Aina hii ya familia yenye mzazi mmoja tu imepatikana pia kama familia ya baba na watoto kama utamaduni unamruhusu baba peke yake kulea watoto.

Katika mazingira ya umaskini, vita au mabadiliko ya haraka sana kuna pia watoto wengi wanaoishi kwa bibi au babu na hata hali hii ni aina ya familia.

                                     

2. Viungo vya nje

 • Unitedfamilies.org, International organisation
 • Unaweza Kuwa na Familia Yenye Furaha
 • Family Facts: Social Science Research on Family, Society & Religion a Heritage Foundation site. familyfacts.org
 • Family Research Laboratory, unh.edu
 • UN.org, Families and Development
 • Siri 12 za Mafanikio Katika Familia
 • Family, marriage and "de facto" unions, Vatican.va
 • Families Australia – independent peak not-for-profit organisation. familiesaustralia.org.au
 • Family database, OECD,
 • FamilyPlatform – A consortium of 12 organisations providing input into the European Unions Socio-Economic and Humanities Research Agenda on Family Research and Family Policies.
 • Family evolution and contemporary social transformations. Estación de Economía Política. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-29.
Mchadi
                                               

Mchadi

Mchadi ni mboga wa majani. Ni katika familia moja na mchicha, Amaranthaceae. Ni nususpishi ndani ya spishi Beta vulgaris iliyo pamoja na kiazisukari. Majani yake huwa na rangi ya kijani au nyekundu. Majani hupikwa na kuliwa.