Back

ⓘ Jamii:Watu wa Misri ya Kale
                                               

Djoser

Djoser alikuwa Farao wa kwanza wa nasaba ya 3 ya Misri, mmamo mwaka 2670 KK. Anakumbukwa kwa ujenzi wa piramidi ya kwanza iliyojengwa Misri ambayo ni piramidi ya ngazi huko Sakara. Nasaba ya Tatu iliyokuwa na mji mkuu wa Memphis, ilikuwa mwanzo wa Himaya ya Kale ya Misri na kipindi cha utulivu, mafanikio na umoja. Kumbukumbu ya Djoser inaonyesha alitawala kwa miaka angalau miaka 20 lakini alitajwa kama mjenzi wa mahekalu mengi, makaburi na sanamu, hivyo wataalamu wengine wanasema inawezakana alitawala hata miaka 30. Kuna sanamu ya rangi ya Djoser iliyochongwa na gange, ambayo ni ya kale ka ...