Back

ⓘ Jamii:Elimu jamii
                                               

Dodoso

Dodoso ni orodha ya maswali ya utafiti ambayo majibu yake hutolewa kimaandishi ama kwa kuandika jibu au kwa kuchagua kati ya majibu yaliyoandaliwa. Shabaha yake ni kukusanya habari au maoni kutoka kwa walengwa. Dodoso hutumiwa hasa katika fani za saikolojia, sayansi ya jamii na sayansi ya uchumi kwa ukusanyaji wa data kuhusu misimamo wa kijamii na kisiasa, maoni, upendeleo au hofu, na tabia za kisaikolojia. Kama dodoso linalenga idadi kubwa ya watu, majibu yake yanaandaliwa mara nyingi kwa kurahisisha tathmini. Mfano: Kwa swali kama "Katika uchaguzi ujao, unapanga kukipiga kura chama A), B ...

                                               

Elimunafsia

Elimunafsia ni fani ya elimu jamii inayolenga kujua nafsi ya binadamu ili kurahisisha ukomavu wake na uhusiano wake na wenzake.

                                               

Kutatua migogoro

Kutatua migogoro huashiria kitendo cha kupunguza ugomvi. Ni kiashiria cha njia mbalimbali ambazo watu hutuliza vilio visivyoshughulikiwa ambavyo huzingatia haki dhidi ya kile wanachoona kuwa na makosa. Njia hizi ni kama kupiga kijembe, kejeli, ugaidi, vita, mauaji ya halaiki, sheria, upatanishi, na avoidance. Njia ya kutatua migogoro unategemea msingi wa jamii. Ili vita halisi kutokea lazima kuwe na viashiria ambavyo vitaashiria sababu ya ugomvi ulivyo Migogoro si jambo linalotsababishwa na jambo la kawaida, lakini mara nyingi huhusiana na suala lililopita. Kutuliza migogoro inahusu kutatu ...

                                               

Malezi

Malezi ni kazi maalumu ya muda mrefu ambayo binadamu anamsaidia mwingine kukabili maisha kwa jumla au sehemu yake mojawapo. Ni kazi inayowapasa kwanza wazazi, ambao wanahitaji msaada wa ukoo, kabila, taifa, dini n.k. Ni kazi inayohitaji moyo mkuu na ustahimilivu mkubwa. Nchi za Afrika zilipojikomboa zilikazania elimu ili kupata mapema wataalamu kwa kazi na huduma za jamii. Hasa siku hizi wengi wameona umuhimu wa kusoma ili kukabili maisha. Ila mara nyingi juhudi hizo hazilengi kujua ukweli, bali kufanikiwa katika kazi na uchumi, na zinaweka pembeni maadili yaliyokuwa muhimu katika malezi y ...

                                               

Mazingira

Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzuguka kiumbe katika maisha yake. Kwa hiyo kila unachokiona ni mazingira yako. Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali; yanaweza kuwa ya asili au ya kutengenezwa na binadamu kama majengo, viwanda n.k. Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huyaharibu, kama vile uchafuzi wa hewa, uchafuzi wa bahari, uchafuzi wa ardhi, n.k. Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu kilimo, ufugaji mvua, n.k. huathiriwa na uchafuzi wa mazingira. Mazingira hutunzwa kwa njia mbalimbali kama vile kupanda miti kwa wingi, kutu ...

                                               

Nidhamu

Nidhamu ni adabu njema kwenye familia, jeshi, hata kwenye shule. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake na ya jamii. Kufanya mtoto kuwa na nidhamu pengine ni kwa kumuadhibu pindi anapoonesha tabia mbaya. Kuchapa kulichukuliwa kama aina ya nidhamu. Hata hivyo muhimu zaidi ni nidhamu binafsi, ambayo ni kujitawala kwa kusimamia matendo na hata mawazo yako mwenyewe yawe ya kufa tu. Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu sheria na amri. Mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa kwa maisha yake.

                                     

ⓘ Elimu jamii

 • sayansi inayochunguza mwenendo wa kijamii, yaani binadamu katika maisha ya jamii unavyoanza, unayoendelea, unavyojipanga na unavyosababisha miundo. Kwa
 • anayetenda kwa dhumuni maalumu. Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha
 • Elimu Jamii Na Chemsha Bongo ni diwani ya mashairi iliyoandikwa na Charles Joseph Mloka ikiwa na mkusanyo wa mashairi ya aina nne: Elimu jamii Siasa
 • makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi
 • nafasi za kiuchumi, usawa, kuiwezesha jamii kimaslahi, kutambua hali za kimaisha na elimu Maendeleo ya jamii husaidia kuwawezesha mtu mmojammoja na
 • Elimu katika Afrika ilianza kama chombo cha kuandaa vijana wake kuchukua nafasi yao katika jamii ya Afrika. Uzoefu wa elimu ya Kiafrika ilianzishwa hasa
 • hujumuisha elimu utafiti na huduma za jamii na katika uwanja wa elimu hujumulisha viwango vya shahada ya kwanza na nyingine za juu. Elimu ya juu aghalabu
 • Elimu nchini Kenya imekuwa ikizingatia mfumo wa 8 - 4 - 4 tangu mwishoni mwa miaka ya 1980, ikiwa ni miaka minane ya elimu ya msingi, ikifuatiwa na miaka minne
 • ya elimu ni uchunguzi wa jinsi watu hujifunza katika mandhari ya elimu ufanisi wa maingiliano ya elimu saikolojia ya kufunza na saikolojia jamii za
 • International, elimu ya haki za binadamu ni namna ya kuwezesha watu kutengeneza maarifa na tabia ambayo itakuza utu na usawa ndani ya kundi, jamii na duniani
 • Afya ya jamii kwa Kiingereza: en: Public Health ni kigezo katika afya ya umma ambayo inajihusisha na afya na ubora wa jamii Wakati jina jamii linaweza
Adui
                                               

Adui

Adui ni mtu au kundi ambalo linathibitishwa kama baya au linalotishia amani. Adui hujiona "yeye ni yeye" na "hakuna mtu anayemuweza". Adui anaweza kutumia zana hatarishi au kupigana kwa kutumia mikono na miguu.

Ajuza
                                               

Ajuza

Ajuza ni mwanamke mzee sana. Ingawa watoto wadogo wa kiume ni wengi kuliko wale wa kike, wanawake duniani wako wengi kuliko wanaume, kwa sababu ni sifa ya jinsia hiyo kuishi kirefu zaidi: hata mbegu za kike zinaishi muda mrefu kuliko zile za kiume baada ya kutoka mwili wa baba. Hata hivyo, katika sehemu nyingine, watu wenye kusadiki ushirikina wanaweza wakawadhania vibaya hata kuwaua kama wachawi, hasa kama wana macho mekundu.

Bingwa
                                               

Bingwa

Bingwa ni mtu apataye matokeo bora kuliko wengine katika fani fulani. Pia tunaweza kusema, bingwa ni mtu anayejulikana kuwa chanzo cha kutegemewa kwa mbinu au ujuzi ambao hutumika kutoa maamuzi sahihi na maadilifu. Bingwa, kwa ujumla, ni mtu mwenye maarifa mbalimbali au uwezo unaotokana na utafiti, uzoefu au kazi katika eneo fulani la masomo, michezo n.k.

                                               

Bodi

Bodi ni kundi la watu walioteuliwa kwa ajili ya kazi maalum na waliopewa majukumu kadha kwa ajili ya ufanisi wake. Mara nyingi huteuliwa miongoni mwa wajumbe wa kikundi kikubwa.

                                               

Ukuaji

Ukuaji ni mchakato wa kuongezeka au kuonyesha mabadiliko katika maumbile au mwonekano ule uliokuwepo awali. Ukuaji unajumuisha mambo yafuatayo: a Mabadiliko katika tabia b Mabadiliko katika sifa Ukuaji mara nyingi au moja kwa moja hutokea kwa Viumbe hai. Viumbe hai ndio wenye uwezo wa kuonyesha mabadiliko katika tabia na sifa zao kijumla. Kwa mfano wao, hata miundo inaweza kusemwa kuwa inakua.