Back

ⓘ Jamii:Misri ya Kale
                                               

Thebes

Majiranukta kwenye ramani: 25°43′14″N 32°36′37″E Thebes kwa Kigiriki: Θῆβαι, Thēbai ulikuwa mji katika Misri ya Kale karibu km 800 kusini mwa Bahari ya Mediteranea. Ilianza karibu na mji wa kisasa wa Luxor ikaendelea pia kwenye ukingo wa magharibi wa mto Nile 25.7° N 32.645° E. Thebai lilikuwa jina la Kigiriki, Wamisri wa Kale waliita Waset, ambayo ilikuwa pia jina la mkoa katika Misri ya juu. Wakati wa Ufalme wa Kati, Farao Mentuhotep II alifanya Waset - Thebes kuwa mji mkuu wa Misri. Hapo mahekalu makubwa yalijengwa au kupanuliwa ambayo yanaonekana hadi leo. Hasa mahekalu ya Karnak na Lu ...