Back

ⓘ Jamii:Watu wa Ugiriki ya Kale
                                               

Alkibiades

Alkibiades, mwana wa Kleinias alikuwa mwanasiasa, mhutubu na mwanajeshi mashuhuri kutoka mjini Athini katika Ugiriki ya Kale. Alikuwa na majukumu muhimu wakati wa Vita ya Peloponesi kati ya Sparta na Athini.