Back

ⓘ Alama za kimataifa za magariAlama za kimataifa za magari
                                     

ⓘ Alama za kimataifa za magari

Alama za kimataifa za magari ni herufi zinazoonyesha ni nchi gani gari fulani inapotoka.

Utaratibu huu ulianzishwa kwa mapatano ya kimataifa kuhusu usafiri kwa magari wa 1926. Ukasahihishwa mara ya mwisho katika mapatano ya kimataifa ya Vienna kuhusu usafiri wa barabarani wa 1968.

Orodha lifuatalo hufuata ufuatano wa alama hizi ambao si sawa na ufuatano wa majina ya nchi. Kwa mfano alama za nchi za Kenya, Tanzania na Uganda hazipatikana chini ya herufi K, T au U kwa sababu zote zaanza kwa "EA" kwa "East Africa". Kwa hiyo njia rahisi ya kupata nchi maalumu ni kutumia nafasi ya kutafuta ya kisakuzi wavuti browser kupitia "edit - find in this page".

Tahadhari * si rasmi
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →