Back

ⓘ Wema
                                     

ⓘ Wema

Wema ni neno lenye kumaanisha kumfanyia mambo mazuri na kumfanya mwingine aweze kufurahi. Tunaweza kuwafanyia wema ndugu zetu, marafiki zetu na watu wengine wengi wanaotuzunguka. Jambo hili ni la thamani sana kwa wengine na hata kwetu wenyewe, kwa sababu mtu unayemfanyia wema unaweza ukakutana naye na akakusaidia pia, lakini kama wewe ulishindwa kumfanyia wema naye pia hatashindwa kukulipizia ubaya.

Wema tunaweza kutumia neno hili kwa maana nyingi tofauti wapo watakaotumia kama jina tu kwa sababu zao binafsi na wengine kwao ni kama jambo la kumfanyia mwingine mambo mazuri. Basi pamoja na yote haya ni muhimu kuwafanyia wengine wema na hata kujifanyia mwenyewe; kwa kufanya hivyo tunaweza kuishi kwa amani na furaha katika maisha yetu sote.

Katika falsafa, wema ni kati ya sifa za msingi za uwepo, pamoja na umoja, ukweli na hatimaye uzuri. Kwa msingi huo, Mungu ambaye anasadikiwa kuwepo milele bila kuweza kutokuwepo ana sifa hiyo bila kipimo: ndiye wema wenyewe, chanzo cha mema yote yanayopatikana katika viumbe vyake.

                                     
 • Wema Abraham Sepetu alizaliwa 28 Septemba 1990 ni mwanamitindo, mjasiriamali na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Aliwahi kuwa Miss Tanzania kwa mwaka
 • jina la filamu iliyotoka 2011 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Wema Sepetu, Irene Uwoya na Jacob Stephen JB aliyecheza kama DJ Ben. Filamu
 • kuhusu mambo yajayo. Katika dini tumaini linatokana hasa na imani katika wema wa Mwenyezi Mungu. Ukristo, ukimfuata Mtume Paulo, unaliorodhesha pamoja
 • Ingawa muda haukumruhusu kutekeleza mipango yake, aliacha kumbukumbu nzuri ya wema wake aliitwa Papa wa tabasamu Aliyechaguliwa badala yake alijitajia
 • iliyotoka 2008 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Steven Kanumba Wema Sepetu Mahsein Awadh Asha Jumbe Leyla Ismael Charles Magari Anne
 • kiri mambo mengi anamshauri Wema hata suala la baadhi ya vitu katika pafyumu yake kuna mkono wa Wema Katika wimbo Wema kamtaja kama mwanamke machepele
 • Fadhila ni jambo litolewalo bila kuombwa wala kutegemea malipo. Mfano: uhai wa binadamu ni fadhila kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Visawe: wema msaada. Adili
 • kuwa na furaha au huzuni, hasa kama neema, ikiwa ni pamoja na msamaha na wema Katika nchi nyingi, tendo la kubadilishana pesa, bidhaa, n.k. huweza kuendeleza
 • mwanadamu huongezwa malipo ya wema wake mara kumi ya mfano wa jema hilo alilolitenda mpaka hufikia kuongezwa huku kwa malipo ya wema huo hadi nyogeza mara
 • ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi. Ingawa akili
 • baadhi yake zinaweza kutofautiana. Rafiki anatakiwa awe na upendo, fadhili, wema ushujaa, uaminifu, uelewa, huruma, imani na uwezo wa kujitegemea, kuelezea
 • Marekani 1934 - Brigitte Bardot, mwigizaji wa filamu kutoka Ufaransa 1988 - Wema Sepetu, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2006 1990 - Kirsten Prout, mwigizaji