Back

ⓘ Nancy Kalembe
                                     

ⓘ Nancy Kalembe

Nancy Linda Kalembe ni mwanasiasa kutokea nchini Uganda

Aligombea urais mnamo mwaka 2021, ambapo alikuwa mwanamke pekee kugombea, ila alishindwa na mpinzani wake Yoweri Museveni.

                                     

1. Maisha ya Awali naElimu

Nancy Kalembe alizaliwa mwaka 1980 na kukulia katika wilaya ya Iganga nchini Uganda katika mkoa wa Busoga. alikuwa ni mmoja wa watoto kumi na nane katika familia yao na baba yake alikuwa akiitwa George Patrick Bageya aliekuwa mwanasiasa na mama yake aliitwa Cissy Kubaaza aliefariki wakati Nancy akiwa na umri wa miaka kumi na tatu.

Kalembe alihitimu katika chuo kikuu cha Makerere mwaka 2017.