Back

ⓘ Jamilah Lemieux
Jamilah Lemieux
                                     

ⓘ Jamilah Lemieux

Jamilah Lemieux ni mwandishi, mwanasanaa na mhariri wa Marekani. Ni Blogger aliekuwa akifanya kazi katika magazeti ya Ebony, Cassius Magazine, na Interactive One,pamoja na kituo cha radio cha Radio One,pia alikiuwa ni mtanfazji wa kipindi cha Mom & Dad Are Fighting.

                                     

1. Maisha ya Awali

Lemieux alizaliwa na kukulia katika jiji la Chicago, baba yake ni David Lemieux, mwanachama wa zamani wa chama cha Black Panther Party, aliYetokea katika filamu ya The Spook Who Sat by the Door mwaka 1973

Lemieux ana shahada kutoka chuo kikuu cha Howard. na pia ni mwanachama wa Alpha Kappa Alpha.

                                     

2. Taaluma

Uandishi

Mara baada ya kumaliza chuo kikuu,Jamilah alianza kazi ya uandishi, akiandika katika blospot pamoja na mitandaoni,blog yake mara nyingi ilikuwa ikizungumzia masuala ya mahusiano. ni mshindi mara tatu wa tuzo za Black Weblog Awards.

Mwaka 2011, Lemieux alikuwa mhariri katika hazeti la Ebony Magazine. Mwaka 2014 alikuwa mhariri msaidi na mwaka 2015 alikuwa mhariri mkuu

Makala za Lemieux zimekuwa zikitokea katika vyombo kadhaa vya habari kama Mic media company, Essence Magazine, The Nation, The Washington Post, The New York Times, na The Guardian ma,ara nyingi amekuwa akiandika pia kuhusian na utamaduni.