Back

ⓘ Frances Goodman
                                     

ⓘ Frances Goodman

Frances Goodman ni mwanamke msanii wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anaishi Johannesburg. Kazi zake zinatumia sana misumari ya akriliki na vifaa visivyofunuliwa na "anavutiwa sana na uhusiano kati ya uke, gharama na maigizo"

                                     

1. Elimu

Kwanzia 1994-1997, Goodman amefanya kazi kwenye chuo kikuu cha Witwatersrand mjini Johannesburg akiwa na shahada ya Sanaa.Baadae akaamia mjini London kusoma Goldsmiths Collage mwaka 1999, akapokea shahada ya udhamini kwenye Sanaa mnmo mwaka 2000. Baada ya hapo akahudumia kama mshindi kwenye taasisi ya juu Zaidi ya Sanaa huko Antwerp,Belgium kwanzia mwaka 2001 mpaka2003.

                                     

2. Maonesho na Tuzo

Goodman amekua kwenye maonesho makubwa kwanzia 2002, akiwa peke yake na pia na maonesho ya makundi akionesha Ulaya, Amerika ya Kusini, na Afrika. In 2012, she was a resident at the International Studio & Curatorial Program in New York City. In 2012, she was a resident at the International Studio & Curatorial Program in New York City. She was a recipient of the Cecily Brown Fellowship for Outstanding Woman Artists in 2014.

                                     

3. Kazi

Goodman mara nyingi hutumia kope bandia, kucha bandia, hereni za lulu bandia na vingine kawaida ’kama mwanamke’’ nyenzo za kutengeneza sanamu zake na mitambo yake,akiangalia tamaa za kila siku na tabia za juujuu." Wanawake mara nyingi huombwa kufanya chaguzi zakuwashawishi kuhusiana na miili yetu’’ anasema Goodman. ’Kucha bandia na kope bandia,huenda kinyume na hiko.Una uwezo wakuwa wagharama,kuwa mtu mwingine kabisa,hauwi mfano wa jinsi mwanamke anavotakiwa kuwa.Unakuwa kinyume’’