Back

ⓘ Heba Amin
Heba Amin
                                     

ⓘ Heba Amin

Amin alizaliwa na kukulia jijini Cairo. Alipata elimu yake ya juu kutoka chuo cha ’Cairo American Colleg’’ iliyopo Maadi. Amin alihamia nchini Marekani mwaka 1998 na kusomea Hisabati na Sanaa akapata diploma kutoka chuo kikuu cha Malacaster ’Macalester College’’. Mwaka 2005 alijiunga kwa masomo ya digrii katika chuo cha Minneapollis ’Minneapolis College of Art and Design’’. Alipata shahada ya Uzamili katika masuala ya Sanaa mnamo mwaka 2009 kutoka chuo kikuu cha Minnesota ’University of Minnesota’’. Kufutia masomo yake, alipata tuzo kutoka chuo kikuu cha Berlin kwa jina la ’DAAD German Academic Exchange’’ kwa kazi yake aliyoipa jina la "Alternative Memorials". She is a DCRL Fellow in Leuphana University in Lüneburg 2017, a doctoral fellow in at BGSMSC at Freie Universität in Berlin from 2016 to present, and a current Field of Vision fellow in NYC.

                                     

1. Kazi

Amin alijikita zaidi katika masuala ya utafiti na mahojiano juu ya siasa, teknolojia na ukuaji wa miji. Kwa sasa ni mtunzaji wa Sanaa za maonyesho za Mizna Minneapolis, USA, mtunzaji wa program ya makazi kwa jina la DEFAULT akishirikiana na kampuni ya ’Ramdom Association IT’’ ya Italia na muanzilishi wa makusanyo ya Sanaa maarufu kama ’Black Athena Collective’’ akishirikiana na msanii mwenza bwana Dawit L. Petros. Amin pia ni miongoni mwa wasanii waanzilishi wa maonyesho ya televisheni kwa jina la ’Homeland’’ ambayo ilivutia watazamaji wengi ulimwenguni kwote.

Akiwa kama muajiriwa wa wazalishaji wa ’Homeland’’ akiweka graffiti za kiarabu, amini alichora kwa rangi graffiti yenye kuelezea juu ya maonyesho ya Homeland, kwa maandishi ya kiarabu, mchoro huo ulielezea kua maonyesho hayo ya Homeland ni ya kibaguzi. Amin has criticized Homeland for its inaccuracy and bias in its portrayal of people from various countries in the Middle East.

Amin alielezea katika kitabu cha Watoto ’wanawake wa kipekee katika dunia ya waislamu’’; the book received a Moonbeam Childrens Book Award.

Amin alishiriki katika maonyesho ya DakArt Biennale mwaka 2016, miradi mfululizo ya Marakkech Biennale mwaka 2016, makumbusho ya Sanaa za kisasa ya Warsaw, Kunstverein huko Hamburg, Camera Austria, baraza la tisa la Berlin Berlinale, maonyesho ya kimataifa ya IV Moscow kwa Sanaa changa, maonyesho ya kumi na tano ya Sanaa za vyombo vya habari ’WRO Media Art Biennale’’ nchini Poland, maonyesho ya kitaifa ya sanaa Mongolia, na makumbusho ya Sanaa ya jijini Gotland Sweden. Alipata tuzo kutoka Ujerumani maarufu kama Deutscher Akademischer Austausch Dienst’’ na ya shirirka la Rhizome na pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za ’the artraker prize’’.

Amin alishawahi kuwa mkufunzi wa chuo kikuu cha Minnesota jijini Cairo, na katika chuo cha sayansi shirikishi cha jijini Berlin. Amefanya mafunzo mengi ya aina mbalimbali kwote duniani. Kazi yake kwa jina la The Earth Is an Imperfect Ellipsoid ya mwaka 2016 ilitumika na Mizna Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., na pia alihojiwa uandishi wa insha wa Lana Barkawi kwa jina la "Criticality and Dissent".

Kwa sasa Amin anaishi jijini Berlin na anafanya kazi kama mhadhiri katika chuo cha ’Bard College Berlin’’.

                                     

2. Maonyesho yaliyochaguliwa

 • 2014 "A Time for Dreams" ilitunzwa na David Elliot, maonyesho ya IV ya Kimataifa ya Biennale Moscow kwa Sanaa changa, Urusi
 • 2016 "The City in the Blue Daylight" Dak’Art Biennale, Dakar, Senegal
 • 2016 "The Earth is an Imperfect Ellipsoid" Galeri Zilberman, Istanbul, Uturuki
 • 2016 "Ultrahabitat" Gallery Zilberman Berlin, Ujerumani
 • 2016 "Making Use" makumbusho ya Sanaa za kisasa Warsaw, Poland
 • 2016 Cairotronica, Cairo, Misri
 • 2012 "The Download" Rhizome, makumbusho mapya, NY, Marekani
 • 2017 "As If – The Media Artist as Trickster" Framer Framed, Uholanzi
 • 2011 "Let’s Get Ready" maonyesho ya Sanaa mpya ya Pixxelpoint, Nova Gorica, Slovenia
 • 2016 "Beton" Kunsthalle Wien, Austria
 • 2012 "Is there Light in outer space?" maonyesho ya miji ya kale, Melbourne, Australia
 • 2016 "The Earth is an Imperfect Ellipsoid" Marrakech Biennale, Morocco
 • 2016 "As Birds Flying/Kama Tohalleq al Teyour" Sanaa ya filabu za Dubai
 • 2014 "9th Forum Expanded: What Do We Know When We Know Where Something Is?" 64th Berlinale, Berlin, Ujerumani
 • 2015 "To What End?" ilitunzwa na Gulsen Bal, Walter Seidle, Camera Austria, Graz, Austria
 • 2016 "Fluidity" ilitunzwa na Bettina Steinbrügge Kunstverein huko Hamburg, Nina Möntmann Royal Institute of Art, Stockholm na Vanessa Joan Müller Kunsthalle Vienna Kunstverein huko Hamburg, Ujerumani
 • 2019 "History Is Not Here: Sanaa na fikra za kiarabu Minnesota Museum of American Art, St Paul, MN, Marekani
 • 2014 "Les Rencontres Internationales de la Photo de Fes–8eme edition" ilitunzwa na Selva Barni & Francesca Girelli, Institut Francais Fes, Morocco
                                     

3. Maonyesho yaliyochaguliwa

 • 2016 "As Birds Flying/Kama Tohalleq al Teyour" baraza la 66 la Berlinale, Berlin, Ujerumani
 • 2016 "Homeland is Not a Series" sehemiu ya maono, maonyesho ya kimataifa ya filamu ya Rotterdam, Uholanzi
 • 2014 "MEI Film Festival Davenport", chuo cha St. Ambrose, IA
 • 2012 "Mizna’s 7th Twin Cities Arab Film Festival" Minneapolis, MN Marekani
 • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Manyesho ya kitaifa ya Sanaa za kisasa ya Mongolian, Ulaanbaatar, Mongolia
 • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, ARKO Arts Centre, Seoul, Korea kusini
 • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Clearwell Caves, Forest of Dean, Uingereza
 • 2012 "Fluid Spaces" Alfilm Arabisches Film Festival Berlin/ifa Galerie
 • 2013 "Difference Screen" umepangwa na Bruce Allan, Ben Eastop, Artisterium, Tbilisi, Georgia
                                     

4. Heshima/Ruzuku/Tuzo

 • 2017 ruzuku ya uzalishaji, Shuttleworth Foundation Flash Grant
 • 2014 tuzo, Artraker Artist Prize, aliteuliwa
 • 2020 tuzo, Anni and Heinrich Sussmann Artist Award
 • 2018 ruzuku ya uzalishaji, Akademie der Künste der Welt/Köln,Ujerumani
 • 2018 tuzo, Kunstpreis der Böttcherstrasse, aliteuliwa
 • 2004 ruzuku ya mtaalamu," Metropolitan Regional Arts Council Community Arts Grant” Minneapolis, MN
 • 2009 tuzo, Rhizome Commissions Program, New Museum, NYC, NY
 • 2016 ruzuku ya uzalishaji, Interkultur Ruhr Commission, Metropole Ruhr, Ujerumani
 • 2007 ruzuku ya uzaalishaji," Latitudes” Mizna Granting Program, Minneapolis, MN
 • 2019 tuzo, Paulo Cunha E. Silva Prize, aliteuliwa
 • 2018 ruzuku ya uzalishaji, Valletta 2018 Commission, European Capital of Culture, Malta