Back

ⓘ Jamii:Urithi wa Dunia katika Zanzibar
                                               

Ngome Kongwe, Zanzibar

Ngome Kongwe ni boma lililoko katika Mji Mkongwe, mji mkuu wa Zanzibar. Ni jengo la zamani zaidi na kivutio kikuu cha wageni wa Mji Mkongwe. Iko mbele ya bahari kuu, karibu na jengo lingine la kihistoria la jiji, Jumba la Maajabu, na inatazamana na Forodhani Gardens.