Back

ⓘ Leokrisya
Leokrisya
                                     

ⓘ Leokrisya

Leokrisya alikuwa binti wa familia ya Kiislamu aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliacha dini yao ajiunge na Kanisa Katoliki akakataa katakata kurudi nyuma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Catholic Encyclopedia: "St. Eulogius of Cordova".
  • Joaquín Lorenzo Villanueva. Año christiano de España. Madrid: Imprenta Real, 1792. "Santa Leocricia", vol. 3, p. 246-249.
                                     
  • ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Menigni, Papa Zakaria, Leokrisya Luisa wa Marillac, Klemens Maria Hofbauer n.k. Wikimedia Commons ina
  • hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo na alimficha Leokrisya binti aliyeacha Uislamu ajiunge na Kanisa. Kabla ya hapo aliandika taarifa
  • Leobini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Leokadia wa Toledo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Leokrisya Ndiyo Ndiyo Ndiyo Leonardi wa Limoges Ndiyo Ndiyo Ndiyo Leonardo Murialdo