Back

ⓘ Luisa wa Marillac
Luisa wa Marillac
                                     

ⓘ Luisa wa Marillac

Luisa wa Marillac ni maarufu kwa kuanzisha pamoja na Vinsenti wa Paulo shirika la kitawa la Mabinti wa Upendo baada ya kufiwa mumewe.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Benedikto XV alimtangaza mwenye heri tarehe 9 Mei 1920, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Machi 1934.

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 15 Machi.

                                     

1. Marejeo

A. RICHARTZ, Luisa wa Marillac, Mama asiye wa kawaida – tafsiri ya Masista wa Huruma wa Mt. Vinsenti wa Paulo – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1995 – ISBN 9976-67-095-8

                                     

2. Viungo vya nje

  • Vincentian Studies Institute
  • The Vincentian Center for Church and Society
  • Catholic Online Saints
  • Company of the Daughters of Charity
  • Founder Statue in St Peters Basilica
                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Menigni, Papa Zakaria, Leokrisya, Luisa wa Marillac Klemens Maria Hofbauer n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 15
  • Vinsent wa Paulo, Mhimiza wa Walei, Mlezi wa Masista, Mwalimu wa Mapadre ed. Kitabu cha Kivinsenti Mbinga 2000 A. RICHARTZ, Luisa wa Marillac Mama
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha