Back

ⓘ Nguvu
                                               

Kanieneo angahewa

Kanieneo angahewa ni nguvu inayosukuma dhidi ya uso wa dunia na kila kitu au kiumbe kutokana uzito wa hewa iliyoko katika angahewa ya dunia juu yake.

                                               

Basili wa Ankara

Basili wa Ankara alikuwa padri wa Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi. Kabla ya hapo alikuwa amepinga kwa nguvu Uario ulioungwa mkono na kaisari Constans I. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Machi.

                                               

Amplifaya

Amplifaya ni kifaa cha kielektroniki ambacho kinaweza kuongeza nguvu ya ishara. Kimsingi ni saketi ya umeme inayotumia nguvu ya umeme kuongeza tambo ya ishara inyoingia na kuitoa upande mwingine. Amplifaya hupatikana kama kifaa cha pekee au kama saketi ndani ya kifaa fulani. Amplifaya zinaweza kuainishwa kwa njia tofauti. Moja ni kwa marudio ya ishara za elektroniki zinazoongezwa. Kwa mfano, amplifaya za sauti hukuza ishara katika upeo wa sauti wa chini ya kilohezi 20. Amplifaya za RF amplifiers huongeza masafa katika upeo wa mawimbiredio kati ya kilohezi 20 na Gigahezi 300. na servo ampli ...

                                               

Kifutio

Kifutio au raba ni kifaa kinachotumiwa kufuta alama za penseli au aina za kalamu. Kimsingi ni kipande kigumu cha mpira kinachotumiwa kufutia maandishi. Mara nyingi kipande kidogo cha mpira kimefungwa kwenye penseli yenyewe wakati inapotengenzwa. Ilhali vipande vidogo huisha haraka au kuvunjika ni afadhali kuwa na kipande kikubwa. Ziko aina tofauti hasa katika kiwango cha ugumu; tofauti nyingine ni uundaji kutokana na utomvu wa mpira au plastiki.

                                               

Kimbriell Kelly

Kimbriell Kelly ni mwandishi wa habari wa Marekani na mtaalamu wa maombi ya rekodi za umma hivi sasa anafanya kazi kama Naibu Mhariri wa Biashara na Uchunguzi katika Los Angeles Times. Kelly anakaa Washington, DC na alipata Tuzo ya Pulitzer ya Kuandika Taarifa ya Habari - mwandishi anayeshinda uchunguzi katika The Washington Post

                                     

ⓘ Nguvu

Nguvu ni uwezo wa kusababisha jambo fulani.

Kwa mfano,

  • katika uchumi ni rasilimali au fedha za mtu
  • katika fizikia ni msukumo au mgongano wa vitu ambao unatoa nishati na unaitwa kani
  • katika jinsia mara nyingi ni sifa inayopatikana zaidi katika ile ya kiume kuliko ile ya kike
  • katika siasa ni mamlaka ya kuamua na kuagiza
  • katika elimu jamii ni tunda la mshikamano wa watu au taasisi
  • katika kiumbehai ni uwezo wa kosogea, kuinua vitu n.k.
  • katika dini ni hasa uweza wa Mungu ambao unasisitizwa kwa kumuita Mwenyezi Mungu, yaani Mweza yote.
  • katika maadili ni mojawapo ya maadili bawaba
                                               

La Luna Sangre

La Luna Sangre ni filamu ya kutisha ya Ufilipino ya mwaka 2017. Ilianza kuonyeshwa kwenye chaneli ya Kifilipino tarehe 6 Juni 2017 na inahusu utabiri wa mwezi damu ambapo ulitabiriwa kwamba mwanga mwenye nguvu na mbwamwitu mwenye nguvu watakuja kuumaliza ugomvi wa wawanga na mbwamwitu.

                                               

Josephine Nabukenya

Josephine Nabukenya ni raia wa Uganda, mwanaharakati wa kupambana na Virusi vya UKIMWI ambaye pia anaishi na maambukizi ya UKIMWI. Pia ni balozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation EGPAF. Yeye ni mmoja wa vijana ambao wamekua kutoka kwenye woga hadi kuwa viongozi wenye nguvu na kujiamini na ambao huwahimiza watoto na vijana wengine kuishi vyema angali na maambukizi na kuchukua dawa zao.

                                               

Achola Rosario

Achola Rosario amezaliwa mnamo 28 Oktoba 1978 ni msanii kutokea nchini Uganda na mtoa ripoti. Rosario anatumia sanaa, mashairi, na mtindo wa maisha usio wa kawaida kuendesha harakati zake kwenye mada kama siasa, mapenzi, ngono, na usawa wa nguvu kati ya walio nacho na wasio nacho. Achola pia aliandika nakala kwajili ya uhuru. Yeye pia ni mshindi wa tuzo ya ujasiriamali.