Back

ⓘ Tasnia
                                               

SHIWATA

SHIWATA ni Mtandao wa Wasasnii Tanzania. SHIWATA awali ilijulikana kama SHIRIKISHO LA WASANII TANZANIA, bali kutokana na mgongano wa usajili na Msajili ambae ni Baraza la Sanaa la Taifa baadae ilikubalika kwamba iitwe Mtandao wa Wasanii kutokana na Kusajiliwa kwa mashirikisho manne Shirikisho la Wasanii Tanzania pamoja na kubadilishwa kuwa Mtandao wa Wasanii limeendela kuitwa SHIWATA.

                                               

Maria Elisabet Öberg

Maria Elisabet Öberg alikuwa fundi wa nguo za Ufini, aliyechukuliwa kuwa mstari wa mbele katika tasnia ya nguo. Alikuwa mkuu wa kinu cha nguo miaka 1757-1766, ambapo alijulikana kwa ubora wa hali ya juu ya usindikaji wa kitani aliyofundisha wanafunzi. Maria Elisabet Öberg alizaliwa na sajenti wa Uswidi. Alisomea usindikaji wa lin katika kiwanda cha kitani cha Vadstena. Alipomaliza mafunzo yake mnamo 1756, alilipiwa gharama na washirika wake katika taaluma huko Stockholm, kwani ilikuwa sera ya Uswidi wakati huo kuhamasisha tasnia ya nguo na maarifa ndani ya biashara hiyo. Mwaka uliofuata, a ...

                                               

Maurice Kirya

Maurice Kirya ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Uganda, Afrika Mashariki. Ana jina maarufu katika Afrika Mashariki na uzoefu wa zaidi ya muongo mmoja katika tasnia ya muziki.

                                               

Mocco Genius

Idd Mohamed Ngomba alizaliwa tarehe 04 Oktoba 1993 huko Lindi katika pwani ya kusini mashariki mwa Tanzania. Hivi sasa yuko Dar Es Salaam, Tanzania. Kwa sasa ni mtayarishaji wa nyimbo kutoka Tanzania. Anajulikana zaidi kwa kutayarisha nyimbo maarufu za Bongo Fleva kama "Cheche" ya Zuchu akimsirikisha Diamond Platnumz, "Omukwano" ya Tommy Flavour akimshirikisha Alikiba, Pia amehusika kutayarisha wimbo wa "Inatosha" wa Mwanamuziki maarufu Marioo na nyingine nyingi. Kama mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Imagination Sound, studio ya kurekodi muziki jijini Dar es Salaam, Tanzania ambayo ni ...

                                     

ⓘ Tasnia

Tasnia ni neno la kutaja matawi mbalimbali ya uchumi wa nchi ambako bidhaa zinatengenezwa au huduma kutolewa.

Kiasili tasnia ilimaanisha hasa shughuli ambako watu wanashirikiana kuzalisha bidhaa wakibadilisha malighafi kuwa vitu vinavyotumika na binadamu, kwa hiyo shughuli za sekta ya pili ya uchumi pamoja na sekta ya viwanda.

Matumizi ya istilahi imepanuka kufuatana na Kiingereza "industry" kumaanisha pia utoaji wa malighafi sekta ya msingi na huduma sekta ya tatu ya uchumi.

Tasnia ya kisasa hutegemea mgawanyo wa kazi na usanifishaji wa kazi.