Back

ⓘ Magendo
Magendo
                                     

ⓘ Magendo

Magendo ni jinai inayohusu usafirishaji haramu wa bidhaa, vitu au watu kuvukia mipaka ndani au nje ya nchi fulani. Ndani ya nchi fulani vitu husafirishwa kwa namna haramu kama yanatakiwa kuonyeshwa kwenye mageti za taasisi kama vile gereza, bandari au vituo vya kudhibiti biashara.

Mara nyingi magendo hutekelezwa kwa shabaha ya kuepuka kulipia ushuru wa forodha au kufanya biashara na bidhaa haramu kama madawa ya kulevya.

                                     

1. Marejeo

  • Smuggling in 18th and 19th century Britain
  • Kings Cutters and Smugglers 1700-1855, by E. Keble Chatterton, from Project Gutenberg
  • "Organized Crime." Oxford Bibliographies Online: Criminology.
  • Smuggled Goods and Products information
Shirika inayofanya kazi dhidi ya magendo ya watu
  • Ansar Burney Trust - working in the Middle East