Back

ⓘ Kromasi wa Aquileia
Kromasi wa Aquileia
                                     

ⓘ Kromasi wa Aquileia

Kromasi wa Aquileia alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 388 hivi hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Desemba.

                                     

1. Marejeo

  • Pio Paschini, Le vicende politiche e religiose del territorio friulano da Costantino a Carlo Magno secc. IV-VIII, Memorie storiche forogiuliesi, Vol. 8, 1912, pag. 51-64.
                                     

2. Viungo vya nje

  • Chromatius at the Catholic Encyclopedia
  • Patron Saints: Chromatius
  • "Papa Benedikto XVI about Chromatius
                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Habakuki, Viviana wa Roma, Pimeni wa Roma, Kromasi wa Aquileia Papa Silverio n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha