Back

ⓘ Lazaro wa Kyoto
Lazaro wa Kyoto
                                     

ⓘ Lazaro wa Kyoto

Lazaro wa Kyoto alikuwa Mkristo wa Japani na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini nchini humo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake.

                                     

1. Marejeo

  • Lorenzo de Manila, The Proto-Martyr of The Philippines and his Companions - Fr. Fidel Villarroel, O.P., 1988
  • Alvares, Constantino; Jose Garcia, Pedro Tejero 1989. Witnesses of the faith in the Orient: Dominican Martyrs of Japan, China, and Vietnam. Manila: Life Today Publications. ISBN 971-8596-03-8. OCLC 32442371.
                                     
  • wafiadini wa Japani 1633 1637 Antonio Gonzalez Dominiko Ibáñez de Erquicia Yakobo Kyushei Tomonaga Fransisko Shoyemon Jordano Ansalone Lazaro wa Kyoto Luka