Back

ⓘ Luka Alonso
Luka Alonso
                                     

ⓘ Luka Alonso

Luka Alonso Gorda, O.P. alikuwa padri kutoka Hispania na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini nchini Japani.

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake.

                                     

1. Marejeo

  • Alvares, Constantino; Jose Garcia, Pedro Tejero 1989. Witnesses of the faith in the Orient: Dominican Martyrs of Japan, China, and Vietnam. Manila: Life Today Publications. ISBN 971-8596-03-8. OCLC 32442371.
  • Lorenzo de Manila, The Proto-Martyr of The Philippines and his Companions - Fr. Fidel Villarroel, O.P., 1988
                                     
  • Verano wa Cavaillon, Akwilino wa Evreux, Fridesvida, Filipo Howard, Luka Alonso Mathayo Kohioye n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: Oktoba 19 BBC:
  • Kyushei Tomonaga Fransisko Shoyemon Jordano Ansalone Lazaro wa Kyoto Luka Alonso Marina wa Omura Magdalena wa Nagasaki Mathayo Kohioye Mikaeli wa Aozaraza
  • Ndiyo Luka Alonso Ndiyo Luka Banabakintu Ndiyo Luka Hwang Soktu Ndiyo Luka Kijana Ndiyo Ndiyo Ndiyo Luka Kirby Ndiyo Luka Loan