Back

ⓘ Isimu                                               

Jo-Anne Richards

Jo-Anne Richards alikulia Port Elizabeth, Afrika Kusini, na alisomea katika shule ya upili ya Wasichana ya Collegiate. Vitabu vyake vya kwanza ambavyo alisoma vilikuwa "The Boy Next Door" na "The Island of Adventure". Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Rhodes huko Grahamstown mnamo 1979, akifuatiwa na shahada ya Honours katika Uandishi wa Habari na Isimu. Ana Cheti cha Daktari wa FalsafaP.H.D ya Uandishi wa Ubunifu kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand, ambapo alikuwa mhadhiri wa uandishi wa habari kwa miaka 15. Richards alifanya kazi wakati wote kwa magazeti manne ya Afrika Kusini - The Star A ...

                                     

ⓘ Isimu

Isimu ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:

  • semantiki kuhusu maana
  • isimujamii kuhusu uhusiano kati ya lugha na jamii
  • fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu
  • mofolojia kuhusu mfumo wa maneno
  • sintaksi kuhusu mfumo wa sentensi
  • fonolojia kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani
                                     

1. Marejeo

  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →