Back

ⓘ Magret Bays
Magret Bays
                                     

ⓘ Magret Bays

Magret Bays, alikuwa mshonaji wa Uswisi.

Alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko na kutekeleza karama yake katika maisha ya nyumbani akizama katika sala na kusaidia wahitaji.

Mwaka 1854 alijikuta ana madonda mwilini kama yale ya Yesu msulubiwa. Pia alipata njozi.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 29 Oktoba 1995, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Oktoba 2019.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Juni.

                                     

1. Marejeo

  • Python, Martial 1 January 2011. La vie mystique de Marguerite Bays: stigmatisée suisse. Parole et silence, 35–39. ISBN 9782889180059. OCLC 779696750.
                                     
  • Gudene, Zoilo, Samsoni wa Konstantinopoli, Yohane wa Chinon, Thomas Toan, Magret Bays n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: Juni 27 BBC: On This Day Today
  • Yosefu Cafasso, padri 1860 23 Juni Zelia Guerin 1877 12 Julai Magret Bays bikira 1879 27 Juni Maria Yosefa Rossello, bikira 1880 7 Desemba