Back

ⓘ Papa Linus
Papa Linus
                                     

ⓘ Papa Linus

Papa Linus alikuwa Papa kuanzia takriban 67 hadi kifo chake takriban 79.

Alimfuata Papa wa kwanza, Mtume Petro, akafuatwa na Papa Anacletus.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • Adolf von Harnack, Geschichte der Altchristlichen Literatur, II: Die Chronologie I Leipzig, 1897, uk. 70.
  • Claudio Rendina, I Papi. Storia e segreti, Newton & Compton, Roma, 1983.
  • Louise Ropes Loomis, The Book of Popes Liber Pontificalis. Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8.
  • Catholic Encyclopedia, Volume IX. New York 1910, Robert Appleton Company. * Lightfoot, The Apostolic Fathers; St. Clement of Rome, I London, 1890, uk. 201 n.k.;
                                     
  • Papa Anacletus au Kleti alikuwa Papa kuanzia takriban 79 hadi kifo chake takriban 88. Alimfuata Papa Linus akafuatwa na Papa Klementi I. Tangu kale anaheshimiwa
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pio wa Pietrelcina, Zakaria na Elisabeti, Papa Linus Sosyo, Kostanso wa Ancona, Andrea, Yohane, Petro na Antoni, Kristofa
  • mwanzilishi kutoka Ufaransa 1819 - James Watt, mhandisi kutoka Uskoti 1994 - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na mshindi wa