Back

ⓘ Falsafa ya kidini
Falsafa ya kidini
                                     

ⓘ Falsafa ya kidini

Falsafa ya dini ni falsafa inayofikiri na inayohamasisha watu kwa kuongozwa na imani ya dini fulani.

Inaweza kufanyika kwa kuzingatia ukweli unavyojulikana na akili, lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika imani hiyo.

Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile:

  • Falsafa ya Kikristo
  • Falsafa ya Kibuddha
  • Falsafa ya Kihindu
  • Falsafa ya Kiislamu
  • Falsafa ya Kijaini
  • Falsafa ya Kikalasinga
  • Falsafa ya Kiyahudi

Ni tofauti na falsafa ya dini inayochunguza dini zote jumla kwa mbinu za falsafa bila kutegemea imani yoyote.