Back

ⓘ Lifardi
                                     

ⓘ Lifardi

Lifardi alikuwa gavana wa Orleans ambaye kufikia umri wa miaka 40 akaacha utawala akawa shemasi, halafu mkaapweke, padri na baadaye alianzisha monasteri ambapo alifariki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni.

                                     

1. Viungo vya nje

  • La Vie Des Saints Pour Tous Les Jours De LAnnée, Robustel, 1714.
  • Les Vies des saints pour tous les jours de lannée, tirées des auteurs les plus célèbres avec des réflexions chrétiennes sur chacune dicelles, Claude Proust, chez Nicolas de Lacourt, 1724.
                                     
  • watakatifu Karolo Lwanga na wenzake, Sesili wa Karthago, Klotilda malkia, Lifardi Oliva wa Anagni, Isaka wa Cordoba, Davini wa Lucca, Yohane Grande, Petro
  • Ndiyo Lidia wa Thiatira Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Lidwina Ndiyo Ndiyo Lifardi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Likano Ndiyo Likarioni na Potamiona Ndiyo Ndiyo