Back

ⓘ Makumbusho ya Livingstone
Makumbusho ya Livingstone
                                     

ⓘ Makumbusho ya Livingstone

Makumbusho ya Livingstone ndiyo makumbusho makubwa zaidi katika nchi ya Zambia.

Yanapatikana katika jiji la Livingstone, kusini mwa nchi ya Zambia.

Makumbusho hayo huelezea kazi za sanaa na picha, historia, ala za muziki, upelelezi wa David Livingstone na safari za wamisionari wengine.

                                     

1. Historia

Makumbusho ya Livingstone ni makumbusho makubwa na ya kale zaidi katika nchi ya Zambia, kwa kuwa yalianzishwa mwaka 1934 kama jumba la makumbusho la David Livingstone.

Mwaka 1948, kapteni A.W. Whittington alijitolea kuuza mabaki ya kale ya binadamu, lakini makumbusho yalikataa kununua mabaki hayo.

Mwaka 1951 jengo lilijengwa katika mtindo wa koloni la Wahispania na kufunguliwa.

Jock Millar, meya wa zamani wa Livingstone, alimuomba Harry Susman wa kampuni ya Susman Brothers kujitolea saa iliyokuwa na pande nne kwa ajili ya makumbusho haya lakini kabla ya saa hiyo kutolewa, Susman aliaga dunia.

                                     

2. Jiografia

Makumbusho ya Livingstone yanapatikana katikati ya jiji la Livingstone, katika barabara ya Mosi-o-Tunya, umbali wa kilometa 10 kutoka maporomoko ya Victoria, kutoka upande wa Zambia, barabara inapatikana katika njia tatu, kilometa 11 kwa kuvuka mpaka wa maporomoko ya Victoria na kuvuka daraja maarufu la Victoria, njia ya pili ni kilometa 60 kutoka mpaka wa Kazungula nchini na kilometa 40 kutoka katika mji mkuu wa Lusaka. Upande wa Botswana, kwa kufuata mto Kafue ni kuvuka daraja kuelekea Mazabuka.

                                     
  • ya Balotseland hasa. Makumbusho ya Reli Zambia Makumbusho ya Victoria Maporomoko Nyumba ya Chilenje 394 Makumbusho ya Livingstone Makumbusho ya Taifa
  • Makumbusho ya Reli ni makumbusho yaliyoko Livingstone Zambia. Ni jumba la kumbukumbu lililotoleWa kuhifadhi urithi wa reli ya Zambia, na vilevile kufanya
  • la Makumbusho ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya jiologia. Mambo mengine ya kuchangamsha ni kama Hifadhi ya Rusizi
  • Kigoma mjini ndio mji wa kale zaidi katika Tanzania ya Magharibi penye makumbusho ya David Livingstone Mnamo Machi 2012 zimeongezwa wilaya mpya za Buhigwe
  • Hospitali ya Kibinafsi ya Isivana Hospitali ya Komani Hospitali ya Livingstone Hospitali kuu ya Maclear Hospitali ya Kibinafsi ya Mjanana Hospitali ya Nessie