Back

ⓘ Laurenti Huong Van Nguyen
                                     

ⓘ Laurenti Huong Van Nguyen

Laurenti Huong Van Nguyen alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19.

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba.

                                     

1. Marejeo

  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi dhistoire et daventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All Gods Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
                                     
  • Jean - Louis Bonnard, M.E.P., padri mmisionari kutoka Ufaransa Laurenti Huong Van Nguyen padri Luka Loan Ba Vu, padri Luka Thin Viet Pham Martin Tho Martin
  • Yerusalemu, Polioni, Theodori wa Tabennese, Yohane wa Afusia, Laurenti Nguyen Van Huong n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 27 Aprili BBC: On This