Back

ⓘ Mauzo shirikishi
                                     

ⓘ Mauzo shirikishi

Mauzo shirikishi ni mfumo wa mauzo unaotegemea utendakazi ambapo mwenye biashara humtunuku muuzaji aliyeshirikishwa kulingana na idadi ya wateja aliopata au bidhaa alizouza.

                                     

1. Historia

Historia ya mauzo shirikishi inaweza kufuatiliwa kutoka kwa uvumbuzi wa dhana ya ugawaji wa mapato - ulipaji fidia kwa wanaosaidia kuuza bidhaa mwaka wa 1994. Hii ilikuwa miaka minne tangu uvumbuzi wa utandawazi.

                                     

2. Uundo

Sekta hii ya mauzo shirikishi ina washirika wakuu wanne:

  • wauuzaji washirikishi kwa Kiingereza Afilliate Marketers
  • mtandao unaowashikanisha wenye biashara na wauzaji washirikishi ambao ndio huonyesha kiwango cha fidia.
  • mfanyabiashara kwa Kiingereza retailer or brand
  • mteja